Designer Vaginas...Worrying trend?

Designer Vaginas...Worrying trend?

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
Designer vagina trend 'worrying'

More and more women are seeking cosmetic vaginal surgery
A leading urogynaecologist has spoken out against the growing popularity of cosmetic vaginal surgery.

Professor Linda Cardozo, of King's College Hospital, London, says little evidence exists to advise women on the safety or effectiveness of procedures.

These include operations to make the external appearance more "attractive" and reshaping the vagina to counter laxity after childbirth, for example.

She discussed the issues at a medical meeting in Montreal, Canada.

Women want to emulate the supermodel. It's part of a trend

A Google search showed over 45,000 references to cosmetic vaginal surgery, yet on medical databases such as PubMed or Medline there were fewer than 100.

Professor Cardozo said the most established vaginal cosmetic procedure was reduction labioplasty - a procedure to make the labia smaller - which is requested by women either for aesthetic reasons or to alleviate physical discomfort.

"Women want to emulate the supermodel. It's part of a trend. But they should know that all surgery can be risky.

"Most of the procedures are done in the private sector and it's totally unregulated."

The exact numbers of procedures carried out are unknown.

In the past five years there has been a doubling of the number of labial reductions carried out on the NHS from 400 in 2000/1 to 800 in 2004/5.

Growing trend

The evidence from existing case studies shows that the procedure, which costs about £2,000 at a private clinic, does have positive aesthetic results but it is unclear whether it resolves feelings of psychological distress or improves sexual functioning, she said.

Types of cosmetic vaginal surgery
Labioplasty - to make the labia smaller
Vaginal rejuvenation - to make the vagina tighter
Hymenoplasty - to restore the hymen and make the woman appear a virgin

And there was little evidence that "vaginal rejuvenation" - the surgical repair of vaginal laxity, with a price tag of about £3,000 - improved symptoms and was any better than doing simple pelvic floor muscle exercises.

She said robust research was needed so that doctors could properly advise their patients. In the meantime, she urged surgeons to remain cautious and operate only as a last resort.

In her presentation at the Royal College of Obstetricians and Gynaecologists 7th International Scientific Meeting, Professor Cardozo said: "Cosmetic vaginal procedures raise a number of serious ethical questions.

"Women are paying large sums of money for this type of surgery which may improve the appearance of their genitalia but there is no evidence that it improves function."
 
Women want to emulate the supermodel. It's part of a trend

Duh!
Kumbe kuwa supermodel the shape of your cookie huzingatiwa?

Hymenoplasty - to restore the hymen and make the woman appear a virgin

What is this now! Ningeelewa kama ingekuwa ni kule kwa King Mswati

.
 
Haya hata Tanzania yapo ila yanafanyika kifamilia zaidi na kwa njia za kijadi.
 
Haya hata Tanzania yapo ila yanafanyika kifamilia zaidi na kwa njia za kijadi.

Wewe kweli Zee La Nyeti...sijua kama unazo simulizi za Tanga ama
ni kwengineko...kwi kwi kwi!!!!
 
Kumradhi ma sista zangu ambao hayo hayawahusu wala hamjishughulishi. Lakini inabidi niwape wale ambao huko ndio wanabobea:

Huo ndio ule unaoitwa "uhuru" wa kujiamulia wanachotaka. Walienda mpaka Beijing wakiongozwa na Hillary (amabye mkutano ulimtokea puani kwani Bill akawa wakati huo anachezea "cigars!" Kila kukicha wanabuni mapya ya kurekebisha. Mwisho wa hili ni kutemebea uchi wa mnyama ili ku-display hivyo vilivyorekebishwa. Tujitayarishe kuambiwa sasa zamu yetu kushika, kubeba mimba, kuzaa na kunyonyesha wakati wenzetu wanashindana "uzuri"
 
Kama uwezo wa kipesa wa kufanya hivyo unawaruhusu, na kama wanafanya hivyo kwa ajili ya matakwa yao na wanafanya hivyo kwa kuwapendezesha na kuwapa uroda wenzi wao; basi miye sioni kosa lao. Kama results zinakuwa more attractive and more efficient then let it be!!

Binadamu kubadilisha maumbile kunatokea katika level mbalimbali na kwa uwezo tofautitofauti. Kuanzia kwenye kunywa madawa ya kutuponya magonjwa tuliyonayo, kukata makucha, kutahiriwa, kukata nywele, kuchoma nywele, liposuction, na msululu wa mengineyo mengi. Ambapo mtu ukifanya description yake physically na psychologically, si kwingine, bali ni kule kubadili natural event zitokeazo katika maumbile ya binadamu. Sasa hao ambao wanafanya hivyo kwenye viungo vyao vya mapenzi, fursa hiyo kama wanayo basi siye kuwa-judge ni vigumu ati.
 
Tuwewangalifu unaweza kuletewa bonge la toto ukajua hajakuswa kumbe changa la macho watalamu wamefanya adjust ya machine wewe unajua std kumbe imechongwa size mia[100]
 
Tuwewangalifu unaweza kuletewa bonge la toto ukajua hajakuswa kumbe changa la macho watalamu wamefanya adjust ya machine wewe unajua std kumbe imechongwa size mia[100]
--- kama utaifaudu, hamna noma wala nini... poa tu!!
 
--- kama utaifaudu, hamna noma wala nini... poa tu!!

Sijui bwana, mimi haya matiti fake ya kununua hata kuyaangalia hayavutii sasa uambiwe tena na nanino siyo real ni ya kubandika 🙁. Hii kuchezea miili yetu bila mipaka itatutokea puani. Si tunamuona Michael Jackson alipopata utajiri wa kupindukia akiwa na miaka 18 alitaka awe na pua na macho kama ya Diana Ross na ngozi kama ya mzungu. Leo hii anajuta maana pua inakaribia kuanguka na macho nayo. Angekuwa na uwezo angerewind time ili arudi kama zamani, lakini sasa amebaki na majuto mjukuu. Yule mama yake Kanye naye akataka kuyapiga jeki matiti ili yawe kama ya kigori akaishia kufariki na wako wengi wanaokufa au wanabaki na majonzi makubwa for the rest of their lives. Tuogope kuchezea viungo vyote kwenye miili yetu.
 
Sijui bwana, mimi haya matiti fake ya kununua hata kuyaangalia hayavutii sasa uambiwe tena na nanino siyo real ni ya kubandika 🙁. Hii kuchezea miili yetu bila mipaka itatutokwa puani. Si tunamuona Michael Jackson alipopata utajiri wa kupindukia akiwa na miaka 18 alitaka awe na pua na macho kama ya Diana Ross na ngozi kama ya mzungu. Leo hii anajuta maana pua inakaribia kuanguka na macho nayo. Angekuwa na uwezo angerewind time ili arudi kama zamani, lakini sasa amebaki na majuto mjukuu.
Bubu, Michael Jackson ali jump the gun bana. The same thing ambacho alifanya katika pua yake apart ya hilo la rangi, leo hii linafanyika kwa wengi bila hata kuacha kovu.... wakati anafanya hilo hata CD za miziki zilikuwa hazijaanza kutengenezwa, far far too early!!!

Kuchezea miili kwa upasuaji na plastic surgeries kuna vikomo vyake, vivyo hivo kutumia sana madawa ya kutuliza maumivu fulani hivi katika miili yetu nako kuna kikomo chake. Miili huwa chronic au madhara mengine zaidi nje ya matatizo huweza kujitokeza.

Bubu, tukumbuke mengi ambayo tunaona hayafai na kuyakataa katika jamii zetu hii leo, baada ya miaka makumi kadhaa mambo hayo hayo huwa ni ya kawaida na watu kuyafanya huwa jambo la kukubalika kwa wengi katika jamii.

Ugumu tulionao hivi sasa na tutakao endelea kuwa nao ni kule kujua barrier inayokuwa crossed between therapy inayotolewa kwa mtu pale inapokuwa ni kwa ajili ya physical relief au psychological. Katika hili kumbuka - wanaume kwa wanawake walio affluent wanatumia pesa nyingi kwenda kwenye ma-gym kwa ajili ya ku-fulfill vanity. Pia mtu anayefanya mazoezi magumu kupindukia kwa ajili ya kujiweka fit tu bado anakuwa anaenda kinyume na kiwango cha physical activity ambacho mwili wa binadamu unaweza kuhimili naturally. Na ndipo hapo moral judgment katika maswala haya huwa vigumu sana ku-establish.

SteveD.
 
Kama ambavyo wanaoweka matiti ya bandia, wengine wanafurahia na wengine pia wanajuta wako wengi kama Michael jackson sura zao wanaona hata aibu kuzionyesha hadharani.

Kazi ya mungu haina makosa, mimi ni wa mwaka 47 bwana, hili la kuanza kuweka matiti bandia na private parts za bandia sikubaliani nalo. Sasa unamuona mtu unampenda unaanza kumuuliza nani hii yako ni real au ya bandia!!! 🙁. Akina Pamela Anderson na Toni Braxtoni walizungumza jinsi matiti yao bandia yalivyopasuka kwa ndani ikabidi tena wakapigwe visu ili kuyatoa na wote wakaapa hawatayagusa tena sasa nanino pia ya bandia!!!! No way niite mshamba lakini kuna mambo mengine inabidi tuyaache kama yalivyo hasa kama hayakuletei matatizo yoyote katika maisha yako ya kila siku.
 
Haya yanayofanywa kwenye punane (p***y) ni sawa na wale wanaume wanaoongeza mijenenge yao kwa waganga au hata surgery

dont tou guys think so?
 
Sijui bwana, mimi haya matiti fake ya kununua hata kuyaangalia hayavutii sasa uambiwe tena na nanino siyo real ni ya kubandika 🙁. Hii kuchezea miili yetu bila mipaka itatutokea puani. Si tunamuona Michael Jackson alipopata utajiri wa kupindukia akiwa na miaka 18 alitaka awe na pua na macho kama ya Diana Ross na ngozi kama ya mzungu. Leo hii anajuta maana pua inakaribia kuanguka na macho nayo. Angekuwa na uwezo angerewind time ili arudi kama zamani, lakini sasa amebaki na majuto mjukuu. Yule mama yake Kanye naye akataka kuyapiga jeki matiti ili yawe kama ya kigori akaishia kufariki na wako wengi wanaokufa au wanabaki na majonzi makubwa for the rest of their lives. Tuogope kuchezea viungo vyote kwenye miili yetu.

BAK!
Bora Michael Jackson angalau yuko hai.Mke wa Obasanjo alikufa kisa..anajiandaa kusherekea 60th Birthday kwa kufanya plastic surgery atoke kama kigori ilhalia tayari na umri aliokuwa nao alikuwa georgous by any standards. Jamani turidhike na kile tulichojaliwa nacho.
Sasa hizo operations mpaka kwa bibi.. tunataka kumkoga nani?? vitu vingine ni ujuha!
 
wanataka nyuke ziwe jinuwini?

Wakongwe wanajua kitu jibuwini na kipi cha Mchina.........achilia mbali kupima oil pia hata muonekano unajionyesha kuwa kitu cha Beijing.....

hata gari ukilifanyisha kazi kuoita kiasi linachoka na nyuke pia the same zisipitilizwe muda service na usafi pia.Hao weupe wanatumia karatasi hata kule lazima ichoke
 
Haya yanayofanywa kwenye punane (p***y) ni sawa na wale wanaume wanaoongeza mijenenge yao kwa waganga au hata surgery

dont tou guys think so?
---wana li-ignore hilo, lakini kwa vile baadhi ya wanawake wameamua kufanya kama hiyo habari juu inavyoeleza, basi kila ubaya umeanza kuonekana!!!

---think about it, kama mwanamme anakuwa na mapungufu ya aina fulani katika uume wake, halafu anapatikana daktari wa kumsaidia kinamna kisha mwenzi wake anaanza kuridhika zaidi ya hapo awali... jambo hilo likielezwa litakuwa ni jambo chanya kwa wengi, wanawake kwa wanaume. Lakini hichohicho kikifanyika na kwa lengo hilo hilo kwa upande wa mwanamke.... watu wataanza kusema oooh, matiti feki...mara oooh nywele bandia... n.k.

---drawing a line kwenye mambo haya ni vigumu.
 
BAK!
Bora Michael Jackson angalau yuko hai.Mke wa Obasanjo alikufa kisa..anajiandaa kusherekea 60th Birthday kwa kufanya plastic surgery atoke kama kigori ilhalia tayari na umri aliokuwa nao alikuwa georgous by any standards. Jamani turidhike na kile tulichojaliwa nacho.
Sasa hizo operations mpaka kwa bibi.. tunataka kumkoga nani?? vitu vingine ni ujuha!
WoS, nakubaliana nawe katika hilo kuwa huyo alichofanya katika umri huo aliokuwanao katika mazingira tuliyoyazoea ni kama ujuha vile. Lakini naomba kukuuliza, kama tatizo ni umri; je ni umri gani ambao unge/unakubalika kufanya hivyo?
 
WOS

usisahau pia baada ya kufanya hiyo plastic surgery ya punani nerve endings zinaweza zikapungua nguvu zake au kufa kabisa na mama asiwe anahisi chochote wakati wa tendo la ndoa. SteveD hata wanaume wako pia wanaojuta baada ya kufanya hayo madudu. Wengine wakishafanya basi shughuli hazisimami tena hapo unaweza kulia kilio cha mbwa mdomo juu, unarudi kwa daktari anahangaika nayo lakini hakuna improvement yoyote ile.
 
Ningeweza kabisa kuanzisha thread na kuuliza yafuatayo:

---Je, kutairi watoto wachanga (bila ridhaa yao) ni jambo linalokubalika? Kama linakubalika ni sababu gani zinatupelekesha kulikubali jambo hilo?

---Leo hii binadamu kutokana na maendeleo ya kiteknolojia wakigundua jinsi ya kurefusha maisha yetu nakuishi maisha marefu zaidi ya haya tunayoyajua hivi sasa, sema miaka 150+, je mtu uki-opt kuchukua tiba za kukufanya hivyo itakuwa ni jambo la ujuha?
 
Back
Top Bottom