Bmw m5
Member
- Oct 20, 2024
- 73
- 95
Wakuu hongereni na majukumu, ya kujijenga binafsi lakini na Taifa kwa ujumla..
Kwa mara nyingine tena kwenye jukwaa letu pendwa naomba tuangalie muundo wa Toyota Altezza..
Mimi binafsi, napenda sana muonekana wa Altezza kuanzia nje na ndani pia, umbo lake, ground clearance lakini pia ufanisi wa engine yake kwa maana ya spidi na uimara.
Hakika, Toyota waliipatia sana hii chuma🙌
kuna kitu najiuliza, ni kwann Toyota walisitisha kuzalisha altezza kama mwanzo ilihali inaonekana zilipata sana soko?
-kwann hawakuja na altezza sport new model kama tunavyoona kwa harrier, crown n.k ili kuendana na usasa na teknolojia?
-kwann watu wazima hawapendi kutumia altezza licha ya kuwa ni gari nzuri?🤣..hii hasa bongo kwa mujibu wa tafiti zangu zisizo rasmi.
-kwann jamii ina mindset fulani kuhusu watu wanaotumia altezza hasa zenye muungurumo/exhaust kubwa?
ningependa kufahamu kutoka kwenu wazee wangu, na mabraza mliotutangulia kwenye magari, karibuni sana...