Designing ya Altezza moja kwa moja peponi

Designing ya Altezza moja kwa moja peponi

kwa kweli huwa napendelea zaidi gari ambao nitakuwa huru kupita kwenye matuta, sio naenda mwendo wa kasi afu nikikaribia tuta nakuwa mpole, no. sijawahi kupenda alteza.
kwhy chief, hujawahi kuwa na gari ya chini, huzielewi kabisa
 
ningekuwa sijawahi kuwa na gari za chini, nisingeelezea zilivyo. hizo ndio zilikuwa aina ya gari zangu za mwanzo wakati najitafuta. hata hivyo gari ni gari tu kama umeridhika moyoni.
Yeah, ni kweli kabisa mkuu.
 
Mbona gari ya zamani sana
Screenshot_20250223_131947_Facebook.jpg

Gari inadisiwa TZ,america inauzwa zaidi ya milioni 35 Tzs,wabongo ujuaji mwingi,ingia be forwad angalia bei ya altezza ya 1999 na crown ya 2005
 
View attachment 3250366
Gari inadisiwa TZ,america inauzwa zaidi ya milioni 35 Tzs,wabongo ujuaji mwingi,ingia be forwad angalia bei ya altezza ya 1999 na crown ya 2005
chuma kali sana, ila naona soko la Tanzania limeshuka sana kwa hizi gari ndo maana tezza namba E zipo chache..wabongo wamehamia kwenye mazda cx5, Subaru Forester, crown athlete n.k
 
chuma kali sana, ila naona soko la Tanzania limeshuka sana kwa hizi gari ndo maana tezza namba E zipo chache..wabongo wamehamia kwenye mazda cx5, Subaru Forester, crown athlete n.k
Ni kweli mkuu,wabongo wengi wananunua gari ili baadae aiuze,shida inaanzia hapo maana kuagiza altezza bei ni sawa crown altezza ambayo kwenye resale kibongo bongo aifanyi vizuri,ndio maana unakuta watu wananunua altezza za mkononi halafu wanazipimp,kwenye body mjapan pale kwenue altezza alituliza akili mno
Screenshot_20250226_143221_Instagram.jpg
 
Hapana. Lexus IS sio mrithi wa Altezza.
Altezza ni sawa na Lexus IS. Altezza ni kwa ajili ya Japanese market na Lexus IS ni kwa ajili ya Europe na America. Hio Altezza maarufu Bongo USA na Europe ni Lexus IS200.250.300 etc. Hata Toyota Harrier Europe na US ni Lexus RX, Au LExus LS Japan ni Toyota Celsior
Ahsante kwa elimu kaka....
 
Back
Top Bottom