Designing ya Altezza moja kwa moja peponi

kwa kweli huwa napendelea zaidi gari ambao nitakuwa huru kupita kwenye matuta, sio naenda mwendo wa kasi afu nikikaribia tuta nakuwa mpole, no. sijawahi kupenda alteza.
kwhy chief, hujawahi kuwa na gari ya chini, huzielewi kabisa
 
ningekuwa sijawahi kuwa na gari za chini, nisingeelezea zilivyo. hizo ndio zilikuwa aina ya gari zangu za mwanzo wakati najitafuta. hata hivyo gari ni gari tu kama umeridhika moyoni.
Yeah, ni kweli kabisa mkuu.
 
View attachment 3250366
Gari inadisiwa TZ,america inauzwa zaidi ya milioni 35 Tzs,wabongo ujuaji mwingi,ingia be forwad angalia bei ya altezza ya 1999 na crown ya 2005
chuma kali sana, ila naona soko la Tanzania limeshuka sana kwa hizi gari ndo maana tezza namba E zipo chache..wabongo wamehamia kwenye mazda cx5, Subaru Forester, crown athlete n.k
 
chuma kali sana, ila naona soko la Tanzania limeshuka sana kwa hizi gari ndo maana tezza namba E zipo chache..wabongo wamehamia kwenye mazda cx5, Subaru Forester, crown athlete n.k
Ni kweli mkuu,wabongo wengi wananunua gari ili baadae aiuze,shida inaanzia hapo maana kuagiza altezza bei ni sawa crown altezza ambayo kwenye resale kibongo bongo aifanyi vizuri,ndio maana unakuta watu wananunua altezza za mkononi halafu wanazipimp,kwenye body mjapan pale kwenue altezza alituliza akili mno
 
Ahsante kwa elimu kaka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…