Desiigner anatumikia kifungo cha nje cha miaka 2 kwa kujichua ndani ya ndege

Desiigner anatumikia kifungo cha nje cha miaka 2 kwa kujichua ndani ya ndege

Halafu ananusa vidole,ila kuna wadada wa ajabu na ni mrembo kumbe mchafu.
Hawa ndio wanatuponza tunatukanwa kuwa tunanuka kumbe mtu anakojoa kwenye lift halafu hanawi na anaenda kwa jamaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Insta wameimalizia.. kalipoop kabisa 😁🚮
Weeuh kule kujinusu kulikuwa kwingi. Kadem hakatembei hata na tissue/ wipes!!
 
Insta wameimalizia.. kalipoop kabisa [emoji16][emoji706]
Weeuh kule kujinusu kulikuwa kwingi. Kadem hakatembei hata na tissue/ wipes!!
Uwiii[emoji119] kumbe kalipoop,unatembeaje mdada huna tissue/wipes.sio kosa lake maana hata handbag hana

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Muonekano wake tyuuh ni mtumiaji wa Bange, lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dronedrake alimpa cheo Cha ukatibu mwenezi Kanda ya ngozi nyeupe Ila kule wanaelewa ushoga zaidi
Sasa ushoga hapa unakujaje? Unateswa sana na ushoga eeeh?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu ananusa vidole,ila kuna wadada wa ajabu na ni mrembo kumbe mchafu.
Hawa ndio wanatuponza tunatukanwa kuwa tunanuka kumbe mtu anakojoa kwenye lift halafu hanawi na anaenda kwa jamaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mabwakuu.
 
View attachment 2753577

Rapa na muimbaji wa Marekani Desiigner yupo kwenye kifungo cha nje na uangalizi kwa miaka miwili, kufanya kazi za kijamii na kulipa faini ya Tsh Milioni 12,525,000 kwa kosa la kujichua 'Masturbation' ndani ya ndege.

Hitmaker huyo wa ngoma ya Panda ameamriwa na Mahakama ya Wilaya ya Minneapolis Marekani kama mkosaji wa ngono kwa kitendo hicho alichofanya mwezi April.

Pia katika kifungo hicho anatakiwa kupimwa afya yake ya akili, atachunguzwa kuhusu utumiaji wa madawa ya kulevya na kupigwa marufuku kumiliki silaha yoyote.

Source:;

#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha #Desiigner
Still wanataka homosexuality iwe moja kati ya hki za binadamu hasa Afrika. Mbona wao kuweka mkono mmoja juu wamefung mtu? Ilhali mwili ni wake
 
Back
Top Bottom