Insta wameimalizia.. kalipoop kabisa 😁🚮Halafu ananusa vidole,ila kuna wadada wa ajabu na ni mrembo kumbe mchafu.
Hawa ndio wanatuponza tunatukanwa kuwa tunanuka kumbe mtu anakojoa kwenye lift halafu hanawi na anaenda kwa jamaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mbona genye dada 😂Me nimeshangaa hivi ni genye gani hizo zisisovumilika,swali langu ni alikuwa haogopi ukisimama floor inayofuata mtu apande?halafu kanusa zaidi ya mara Tano🥲🥲
Uwiii[emoji119] kumbe kalipoop,unatembeaje mdada huna tissue/wipes.sio kosa lake maana hata handbag hanaInsta wameimalizia.. kalipoop kabisa [emoji16][emoji706]
Weeuh kule kujinusu kulikuwa kwingi. Kadem hakatembei hata na tissue/ wipes!!
Imagine anafka kwa jamaa anazama chumvin[emoji23][emoji23][emoji23] ila wanaume wanapitia mengi sanaMbona genye dada [emoji23]
🤣🤣🤣Genye na nusuMbona genye dada 😂
Sasa ushoga hapa unakujaje? Unateswa sana na ushoga eeeh?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dronedrake alimpa cheo Cha ukatibu mwenezi Kanda ya ngozi nyeupe Ila kule wanaelewa ushoga zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mabwakuu.Halafu ananusa vidole,ila kuna wadada wa ajabu na ni mrembo kumbe mchafu.
Hawa ndio wanatuponza tunatukanwa kuwa tunanuka kumbe mtu anakojoa kwenye lift halafu hanawi na anaenda kwa jamaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah.Angefanya ushoga hadharani asingechukuliwa hatua
🤣🤣🤣🤣 Wabongo tena Kwa umbea!wanataka wamjue kiundani😁Hahaa ni mwehu yule kuna jamaa kule Twitter kasema anamjua watu wameomba handle kagoma[emoji23][emoji23] ni kenya
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Still wanataka homosexuality iwe moja kati ya hki za binadamu hasa Afrika. Mbona wao kuweka mkono mmoja juu wamefung mtu? Ilhali mwili ni wakeView attachment 2753577
Rapa na muimbaji wa Marekani Desiigner yupo kwenye kifungo cha nje na uangalizi kwa miaka miwili, kufanya kazi za kijamii na kulipa faini ya Tsh Milioni 12,525,000 kwa kosa la kujichua 'Masturbation' ndani ya ndege.
Hitmaker huyo wa ngoma ya Panda ameamriwa na Mahakama ya Wilaya ya Minneapolis Marekani kama mkosaji wa ngono kwa kitendo hicho alichofanya mwezi April.
Pia katika kifungo hicho anatakiwa kupimwa afya yake ya akili, atachunguzwa kuhusu utumiaji wa madawa ya kulevya na kupigwa marufuku kumiliki silaha yoyote.
Source:;
#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha #Desiigner
Watu wanazingatia maokoto kwanzaKwanini faini kwanza halafu vipimo baadaye?
Vipimo vikija na majibu kuwa jamaa ana matatizo ya akili itakuwaje?