Ziko nyingi na karibia zote zinatoa quality nzuri tu lakini kwa open source chukua OBS studio hiyo unaweza fanya live session na recorded one cha msingi ujue kuu customize shortcut zake RAHA YA OBS IPO KWENYE LIVE SESSION.
KUNA NYINGINE INASUPPORT LIVE NA RECORDED VIDEO ILA NI PREMIIUM HAKUNA CRACK YAKE INAYOFANYA KAZI NI NZITO PIA NI SPESHO KWA KUSTREAM GAMES INAITWA Action screen recorder.
Kuna camtasia, 4videosoftscreen capture, itop, na movavi zingine hapa ni nzito kwa 4gb RAM hasa hiyo movavi.
Hizo zote ni za kulipia otherwise tafuta CRACK zake.
Pia kama unatumia Google browser nenda web store kuna plugin/extension zinazofanya capture ya screen na browser.
All in all OBS studio remain as the number one Kama uko serious na hiyo kazi.