Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapnaKwani kwenye job offer hawakutaja mshahara?
Kwl kabisaTunaishi tukijifunza.
NGO na kampuni vitu viwili tofauti. Anyway umesema la Saba.
Kwenye interview yangu walitaka pia nitaje nikauliza kwani nafasi hii inaanza na kiwango gani na mwisho wake ngapi. Akanambia kiwango cha minimum na maximum, nikasema nipewe maximum pay. Alicheka yule boss na nikalipwa kiwango cha kati ya mshahara. Ila niliwacha kazi baadae hizi kazi za kuajiriwa ni sawa na mfanyakazi wa ndani.Nilishawahi kujibu kwa muelekeo huu lkn wakakaza nitaje figure
Suppose unakofanyia currently unalipwa more than their salary scale on that particular position, utasema wakulipe kulingana na scale zao? Actually maswali kama hayo yanalenga kutathmini your worth, kwa hiyo watajie mshahara kulingana na thamani yako regardless how their salary scales are. Unaweza ukalipwa kama expert na hivyo kuvuka scale zao.Hili swali ukiulizwa jibu hivi:- ikiwa mmetangaza kazi basi na minimum and maximum salary mshapanga. Nilipe kwa mujibu wa position nilioiomba.
Graduates mna ji overrate sana aiseeeRafiki angu alihangaika kwa takriban miezi 6 tokea amalize chuo kupata kazi yake ya kwanza. Ila alijiharibia kitu kimoja na yote hii ni kwa sababu ya desperation ya kupata kazi yoyote ilimradi imuingizie kipato.
Jamaa aliitwa interview na international NGO moja hapa Bongo. Akaulizwa lile swali la "how much do you expect us to pay you?" Jamaa na elimu yake ya degree akajibu i expect not less than 600k Tshs. Alisema hela hiyo ndogo ilimradi awe favored tofaut na wengine.
Kwa bahati nzuri jamaa alipata kweli hiyo kazi ila mpunga alipewa huohuo 600k aliosema.
Sasa hivi jamaa analia shida tu kila siku, kazi anayo lakini haimkidhii mahitaji. Anajuta kwa nini alisema hela ndogo hiyvo wakati international NGOs zinalipaga vizuri sana.
Funzo: Desperation isitufanye tukajishusha thamani
mtu fake anajulikana tuSometimes inabidi ujionyeshe una thamani kubwa ili kupewa hata nusu ya thamani uliyoionyesha. sometimes exaggeration pays.
"how much do you expect us to pay you?"
Well Sir, I understand that your organization is dealing with poverty eradication in the world. but with all my educational success, I happen to posses an immense amount of life experience in its reality. I deeply understand the nature of poverty and why it exists, I have been out there. And the people we're trying to help needs someone like me who understands them very well so as is the purpose of your organization.
Yet my bachelor's degrees in Economics and Physics amplifiers all of that in a molecular level. Sir I believe your organization needs people like me especially at this times where firm loyalty and trust is going extinct and money is everything. As poverty solving requires a sense of selfless and empathy for each other. It means with all of that still I don't want anything fancy hence with just 2500$ I can bring everything I have from the bottom of my knowledge into your organization and I promise that you won't regret it.
Confidence is the key, hata hivyo sina mipango ya kuajiriwa ila nikiajiri nitahitaji watu kama mimi.
Goddamnit this is about self-elaboration, self-explanation, self-evaluation or self-appraisal I don't know if you know that but now I'm sure you don't.mtu fake anajulikana tu
kwenye section ya maswali technical wa hiyo kazi utupu wako utaonekana
section ya emotional intelligence utaonekana ulivyo kiazi
hayo mapesa unayotaja ni useless tu....wao kama bajeti yao ni 1.3mil na wewe ukataja 5mil haina mantiki yeyote kwa yeyote yule
Kama kweli wanakuhitaji wataweka 1.3mil mezani,hutaki tambaa,atakuja mwingine
hii kutajiana mishahara ni maelezo baada ya habari...ni maelezo ya kufurahisha genge tu....wao wanaweka mezani walionayo kwa hiyo position,full stop....
your worth inajulikana tu unavyotema madini na mavyeti yako,mengine ni blah blah tu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] swali Kama hili Kuna jamaa angu alikutanalo dangote Cement,akajibu 700k.swali likaja inamaana tukikupa 500k hufanyi kazi?wakti anajishauri kujibu ikapigwa juu kwa juu 400k vipi utaki,jamaa akajibu fasta nitafanyaa maana aliona ngoma inazidi kushushwaa,chezea muhindi/kabacholi wewe?Rafiki angu alihangaika kwa takriban miezi 6 tokea amalize chuo kupata kazi yake ya kwanza. Ila alijiharibia kitu kimoja na yote hii ni kwa sababu ya desperation ya kupata kazi yoyote ilimradi imuingizie kipato.
Jamaa aliitwa interview na international NGO moja hapa Bongo. Akaulizwa lile swali la "how much do you expect us to pay you?" Jamaa na elimu yake ya degree akajibu i expect not less than 600k Tshs. Alisema hela hiyo ndogo ilimradi awe favored tofaut na wengine.
Kwa bahati nzuri jamaa alipata kweli hiyo kazi ila mpunga alipewa huohuo 600k aliosema.
Sasa hivi jamaa analia shida tu kila siku, kazi anayo lakini haimkidhii mahitaji. Anajuta kwa nini alisema hela ndogo hiyvo wakati international NGOs zinalipaga vizuri sana.
Funzo: Desperation isitufanye tukajishusha thamani
So sad hujanielewaFake? what fake?
Cause I don't see any of the emotional or technical bullcrap shit questions you mentioned here. so how the fukc do you know that I'm not good in those specific areas? now trust me when I say this, I'm really good and I fukcing know it. and it doesn't matter how much they offered me, it's not a real job so no need of the jealousy and criticism nonsense of yours. plus I don't even care.
Well hell, that's according to your opinion so how about you deal with it goddamnit?
by the way why you quoted me and what is with all the backlash shit? like personal attack or something? are you fukcing mad?
I don't even get the point of this shit. wtf?
Specificity is the way of a gentleman.So sad hujanielewa
Fake naezungumzia hapa sio wewe...ni huyo interviewee,sio wewe
Naona umeenda overboard as if nimekuongelea wewe
Nimeongelea situation ya huyo jamaa yako anaeenda kwenye interview halafu anadhani anaweza jipa dhamani eti kwa kutaja mishahara mikubwa as if interviewers dont know better
Naona unaharisha sana na slayer's slang,stop sweating mzee
Nakazia hapa [emoji419][emoji419][emoji419]Chai chai chai