SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,613
- 7,889
Naunga mkono hoja. Kwa umasikini huu, tuna mengi ya kufanya zaidi ya kukimbizana mitandaoni na wanaume wanasio na ma.rind.a. Juzi tu Arusha choo cha shule kimetitia na shule nyingi tu hazina vyoo vyenye ubora unaridhisha. Hata hapa Dar, toka nje kidogo tu....ni umasikini mtupu!