Despite the hullaballoo, Benjamin Mkapa Stadium Complex is no match to Kasarani complex which was built way back in 1987

Despite the hullaballoo, Benjamin Mkapa Stadium Complex is no match to Kasarani complex which was built way back in 1987

Tutajenga tukiuhitaji alafu tuna uwanja mkubwa zaidi kuliko huu tunaujenga Dodoma only Tanzania ndo tunauwezo Wa kujenga uwanja Kama hizi Afrika Mashariki

Akikuonyesha nahama Kenyan news section naenda pale "habari na hoja mchanganyiko" ya Tz[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nioneshe uwanja Kama huu Kenya. It is the only wonderful stadium in East Africa.
Nionyeshe huu Tanzania

 
Leteni uwanja mzuri Kama huo usiniletee kasarani kwa sababu ni takataka Kwa mkapa stadium
Hio mabati mumeweka hapo juu ndio state of the art? Remove this and it will turn to the most ugly stadium ever.
 
Back
Top Bottom