Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
Mrenda haupandi hata na kisu shingoni
ahahahahaaaa!!!basi mie nakula aina zote za milenda na ninaipenda sana!!!hata uniwekee kuku sitomla kama kuna mlenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrenda haupandi hata na kisu shingoni
ahahahahaaaa!!!basi mie nakula aina zote za milenda na ninaipenda sana!!!hata uniwekee kuku sitomla kama kuna mlenda
Sipendi pudding mimi,nikila nahisi kutapika
Ya caramel jee pia huli?
Wakati mwengine chakula inategemea Na mpishi.
Pengine nkikupikia mie utakula. 😛
Unafaa sana kuishi tarime. Mimi ukitaka nikuache mezani changanya mboga na mlenda. Naonaga kam cum zangu vile (sory)