Détail muhimu juu ya Honda Crossroad

Détail muhimu juu ya Honda Crossroad

Zarumenda

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2020
Posts
360
Reaction score
482
Kwa yeyote aliyewahi kumiliki hii gari msaada naomba kufahamishwa dondoo muhimu kuihusu hii ndinga maana kwamuonekano kama naielewa sana nanipo mbioni kutafuta usafiri nahii naipigia sana mahesabu.

Maana nimejalibu kuuliza baadhi ya watu direct wengi wao wanasema hawajaijua vizuri.
 
Kwa yeyote aliyewahi kumiliki hii gari msaada naomba kufahamishwa dondoo muhimu kuihusu hii ndinga maana kwamuonekano kama naielewa sana nanipo mbioni kutafuta usafiri nahii naipigia sana mahesabu. Maana nimejalibu kuuliza baadhi ya watu direct wengi wao wanasema hawajaijua vizur

Ni gari nzuri so far.

Gari za Honda hazinaga magonjwa ya kijinga kijinga.

Pia ukitaja gari zenye break down chache barabarani brand ya Honda iko ndani.

Kwa honda Crossroad kuna

Ya Cc1800 2WD

Ya Cc2000 4WD

So unaweza kuchagua hapo kulingana na mazingira unayoishi.

Pia gari inakuja na 7 seat

Haina Spare Tyre kama Vanguard. Japo inakuja na repair kit ya tyre including 12v pressure pump.

Mengine wataongezea wadau.
 
Shukrani sana japo kama hutojali ningeomba unieleweshe kidogo tofauti juu yahizo mbili ulizoziorodhesha hapo

Ni gari yako ya kwanza?

Tofauti ni ukubwa wa engine na moja inaendesha matairi mawili nyingine inaendesha matairi yote manne.
 
Back
Top Bottom