Kwa yeyote aliyewahi kumiliki hii gari msaada naomba kufahamishwa dondoo muhimu kuihusu hii ndinga maana kwamuonekano kama naielewa sana nanipo mbioni kutafuta usafiri nahii naipigia sana mahesabu. Maana nimejalibu kuuliza baadhi ya watu direct wengi wao wanasema hawajaijua vizur
Ni gari nzuri so far.
Gari za Honda hazinaga magonjwa ya kijinga kijinga...
Shukrani sana japo kama hutojali ningeomba unieleweshe kidogo tofauti juu yahizo mbili ulizoziorodhesha hapo
Ni gari yako ya kwanza?
Tofauti ni ukubwa wa engine na moja inaendesha matairi mawili nyingine inaendesha matairi yote manne.