Details kuhusiana na ofisi ya clearing and forwarding....................

Starkwood

Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
61
Reaction score
24
Habari yenu wanajamvi.. Samahani members, ninaomba kujuzwa juu ya ofisi za clearing and forwarding. I am thinking kufungua ofisi ya aina hii, naomba kujua challenges ambazo they are likely to occur during operations ya hii ofisi... wat things are needed?? is there a need ya kwenda brela and places like that maana kuna watu wananiambia ukiwa na mtu mwenye kitu kinaitwa bond huna haja ya wewe kwenda brela.. plz wanajamvi naombeni mnisaidie kujua procedures za hii kitu.. thank u so much in advance
 

Ili uweze kufanya kazi za Clearing and forwarding unatakiwa uwe Customs Agent wa TRA.Ili uwe customs Agents yakupasa uwe licensed na Commissioner wa mambo hayo ya forodha hapo TRA.
Na kuwa lincesed shurti utimize masharti.Baadhi yake ni lazima mmoja wa ma Director afanye mtihani na kufaulu(meaning lazima usome hapo chuo cha kodi), kuwa na kampuni iliyosajiliwa na Brela,Uwe na leseni ya biashara,Uwe Insurance,Uwe na ofisi inayoeleweka ikiwana vifaa vya kutumia kama kompyuta,Uwe na wafanyakazi atleast 2 waliosomea atleast certificate of Clearing and Forwading na uwe na Kibali maalumu toka SUMATRA. Kwa usajili tu unaweza tumia minimum 2M..Na suala la ofisi lina bajeti yake.
Ni vizuri ukafika pale TRA hq Upate maelezo mazuri kwani hii kazi ipo chini yao.Na kwa sasa masharti yanakuwa magumu zaidi na kampun nyingi zinafungiwa
 
Kwanza nakushauri kama ua muda nenda kasomee kwanza angalau Certificate.
Ili ujue changamoto za hii biashara kwa sasa.

Maana unaweza kuona Staffs wako wanakuibia kumbe la,ila kama una Idea itakupa mwanga wa kujua kwamba na wewe kama Muajiriw unajukum la kutafuta wateja.

Ila kwa wapo wafanyabiashara wakubwa ambao wao wamefungua kampuni hizo kwa biashara zao tu,sasa wateja wa nje sio issue kubwa kwao
 
thank you so much for your valuable contributions.. i appreciate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…