Habari yenu wanajamvi.. Samahani members, ninaomba kujuzwa juu ya ofisi za clearing and forwarding. I am thinking kufungua ofisi ya aina hii, naomba kujua challenges ambazo they are likely to occur during operations ya hii ofisi... wat things are needed?? is there a need ya kwenda brela and places like that maana kuna watu wananiambia ukiwa na mtu mwenye kitu kinaitwa bond huna haja ya wewe kwenda brela.. plz wanajamvi naombeni mnisaidie kujua procedures za hii kitu.. thank u so much in advance