Naomba wajuzi wa sheria mnisaidie kwa hili. Je, ni katika mazingira yapi au kwa sababu zipi Polisi wanaweza kumuweka mtu korokoroni (Lock up)? Mfano, Nikienda Polisi kushtaki kwamba Mr. X kanitukana tukiwa waiwili tu then nakamatwa nakuwekwa ndani bila ushahidi, hapo imekaaje?
Asanteni!!