Determine Fc 0- 2 Simba Queens | CAF Women's Champions League | Morocco

Determine Fc 0- 2 Simba Queens | CAF Women's Champions League | Morocco

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Mechi iko live dakika ya 15 na bado milango yote ni migumu.

3BD424A9-6E15-44B4-9F9B-12B2A895B964.jpeg

Twende kazi.

Dk 53’ Opa Clement anaipatia Simba Queens bao la kwanza

Dk 79’ Olaiya Barakat anaipatia Simba Queens bao la 2 kwa mkwaju wa penati
 
Simba Queens chini ya huyu kocha sjui wamemvua wapi hata ligi ya ndani haitafanya vizuri. Team mbovu sana. Sio Simba Queens tuijuayo. Vipaji vyote vimekufa, wachezaji hawajui wapi wacheze vipi, hawajui kuokoa wala kushambulia. Hovyo yaani.
 
Team haina muunganiko mzuri
 
Ugeni wa mashindano makubwa unachangia pia
Hakuna cha ugeni hapo. Kiwango kimeshuka kidogo. Imagine wachezaji wanakosa goli na mpira kuwa free kick, akili ya kawaida ya kimchezo wanapaswa kurudi kwenye nafasi zao haraka, wao wanashangaa kule mbele
 
Back
Top Bottom