Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kocha kaharibu hii timuHii mitoto mipumbavu. Inatengeneza nafasi ikifika 18 inatetemeka tu. Ni ushamba au nini
Shida ni pale mbeleIla Simba queens wako vizuri sana,hata ile game ya kwanza na mwenyeji waliotewa tu.
Oppah anajua kuliko bocco na kyombo
Niliiangalie ile game, usemacho ni kweli tulistahili kuoata point kama sio zote 3 basi angalau 1 lkn kukosa umakini safu ya ushambuliaji rukajikuta tumeooteza points zote 3! Wafungaji wajipange kisawasawa mechi ya jana ilikua zipatikane goli 6 wameambulia 2 tu ambazo zingewasaidia sana mechi ya mwisho. Lakini wajioange cha msingi game ijayo ushindi muhimu, simba guvu moyaaaa💪💪Simba ile game na far rabat wataikumbuka, ni kosa kubwa kushindwa kushinda game ile, kocha arekebishe mambo, timu inakosa saana mabao ya wazi.
Kuna matopolo grazersHivi kuna Yanga Queens? Nauliza kwa nia njema kabisa
Duh [emoji23]Utopolo princess wako hukuView attachment 2405464