evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,996
- 5,156
Ni points zinahesabiwa au inakuajeMechi ya mwisho ni jumamosi
Simba atacheza na Green Buffaloes ya Zambia...mje jamani tujumuike tena ili kuonesha ukubwa wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni points zinahesabiwa au inakuajeMechi ya mwisho ni jumamosi
Simba atacheza na Green Buffaloes ya Zambia...mje jamani tujumuike tena ili kuonesha ukubwa wetu
Sio mbayaFT' Determine 0-2 Simba Queens
Ni points zinahesabiwa au inakuaje
Naunga hojaKwakuwa Simba Queens wapo Morocco kwenye haya mashindano, na kwakuww Morocco ni karibu na Tunisia, kwanini Yanga wasiongee na Simba Queens ili wakapambanie Taifa dhidi ya Clab Africain ili kuepusha aibu ndogondogo? 🤣🤣🤣
Hili wazo zuri ila wale tatizo wanajifanya jeuri sana.Kwakuwa Simba Queens wapo Morocco kwenye haya mashindano, na kwakuww Morocco ni karibu na Tunisia, kwanini Yanga wasiongee na Simba Queens ili wakapambanie Taifa dhidi ya Clab Africain ili kuepusha aibu ndogondogo? 🤣🤣🤣
Na huyu ni mwanamke kifuani ana matiti, lakini kafunga goli bila kuyatingishaHalafu ajue Opah yupo ugenini sio kwa Mkapa
Kwakuwa Simba Queens wapo Morocco kwenye haya mashindano, na kwakuww Morocco ni karibu na Tunisia, kwanini Yanga wasiongee na Simba Queens ili wakapambanie Taifa dhidi ya Clab Africain ili kuepusha aibu ndogondogo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tangu mechi ya kwanza hakuwa fit sijui anapitia mapito gani. Amekuwa mzito kama vile hayupo mchezoni kabisa, kocha anapaswa kumuangalia zaidi kwani mara nyingi ana igharimu timu kwa kukosa uchangamfuTangu atoke Corazone timu inacheza vizuri
Kuna Yanga Princesses mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kuna Yanga Queens? Nauliza kwa nia njema kabisa
Zipo hai au ni kwenye mapichapicha tuu?Kuna Yanga Princesses mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Taratibu ndio mwendo ni imani ya kila mpenda soka amefurahia matokeo.FT' Determine 0-2 Simba Queens
wanayo na kuna mchezaji wao jinsia yake imekuwa ngumu kutambuliwa.Zipo hai au ni kwenye mapichapicha tuu?
Mechi iko live dakika ya 15 na bado milango yote ni migumu.
View attachment 2405297
Twende kazi.
Dk 53’ Opa Clement anaipatia Simba Queens bao la kwanza
Dk 79’ Olaiya Barakat anaipatia Simba Queens bao la 2 kwa mkwaju wa penati
acha dharauKwakuwa Simba Queens wapo Morocco kwenye haya mashindano, na kwakuww Morocco ni karibu na Tunisia, kwanini Yanga wasiongee na Simba Queens ili wakapambanie Taifa dhidi ya Clab Africain ili kuepusha aibu ndogondogo? 🤣🤣🤣
Labda mjamzitoTangu mechi ya kwanza hakuwa fit sijui anapitia mapito gani. Amekuwa mzito kama vile hayupo mchezoni kabisa, kocha anapaswa kumuangalia zaidi kwani mara nyingi ana igharimu timu kwa kukosa uchangamfu