Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waite Mabinti zetu bwana [emoji3][emoji3]La pili. Wanawake wetu wanawakilisha.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sio mbaya Mayele akijifunza kutoka kwa Opah
Halafu ajue Opah yupo ugenini sio kwa MkapaSio mbaya Mayele akijifunza kutoka kwa Opah
Iron LadyNamuona Asha Baraka
Hahaha, mabinti zetuWaite Mabinti zetu bwana [emoji3][emoji3]
Kwakuwa Simba Queens wapo Morocco kwenye haya mashindano, na kwakuww Morocco ni karibu na Tunisia, kwanini Yanga wasiongee na Simba Queens ili wakapambanie Taifa dhidi ya Clab Africain ili kuepusha aibu ndogondogo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaamen. Inshallah [emoji1545][emoji1752][emoji818][emoji817]Mechi ya mwisho ni jumamosi
Simba atacheza na Green Buffaloes ya Zambia...mje jamani tujumuike tena ili kuonesha ukubwa wetu