Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
TunawaombeaMechi iko live dakika ya 15 na bado milango yote ni migumu.
Twende kazi...
Kanisa sio kina sisiSimba Queens leo wanaweza kulifuta Taifa machozi
Ugeni wa mashindano makubwa unachangia piaHii mitoto mipumbavu. Inatengeneza nafasi ikifika 18 inatetemeka tu. Ni ushamba au nini
Team haina muunganiko mzuriSimba Queens chini ya huyu kocha sjui wamemvua wapi hata ligi ya ndani haitafanya vizuri. Team mbovu sana. Sio Simba Queens tuijuayo. Vipaji vyote vimekufa, wachezaji hawajui wapi wacheze vipi, hawajui kuokoa wala kushambulia. Hovyo yaani.
Hakuna cha ugeni hapo. Kiwango kimeshuka kidogo. Imagine wachezaji wanakosa goli na mpira kuwa free kick, akili ya kawaida ya kimchezo wanapaswa kurudi kwenye nafasi zao haraka, wao wanashangaa kule mbeleUgeni wa mashindano makubwa unachangia pia