MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Wachezaji wengi wamekuwa complacent baada ya kupata hela na umaarufu. Kama Opa ni mchezaji mzuri ila nilimuona ule mwezi September kule Sauzi kwenye CAF ya wanawake yani amekuwa bonge sana.Hii mitoto mipumbavu. Inatengeneza nafasi ikifika 18 inatetemeka tu. Ni ushamba au nini
Tako nalo sio habaCorazone ni kiungo mzuri ila mwili umemzidi
GoalVAR loading....