Deus Kakoko afikishwa TAKUKURU. Alikuwa "Untouchable" kwenye Utawala wa Jiwe

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Rejea headline ya Raia Mwema ya tarehe 24 August, 2022. Deus Kakoko alikuwa "Untouchable" kipindi cha Magufuli kutokana na kuwa msiri wake tangu akiwa Regional Manager wa TANROADS enzi za awamu ya 4.

Wakati wa Mwendazake hata PM Majaliwa amewahi kugonga mwamba kwa hiki kisiki.

Soma na hizi threads nyingine hapa;


 
TAKUKURU hizi kesi zenu za kisiasa mama yenu aliambiwa na KAMATI KUU YA CCM zifutwe. Sasa sijui huyu mama ni mkorofi au TAKUKURU ndio wakorofi. Kubishana na kamati kuu
Kumbe ndio umejua leo kama no za kisiasa?
 
Hawa ndio wamesababisha nchi imetumbukia kwenye umaskini wakati tuna Bandari kubwa.
 
Mwanzoni alipokaguliwa na kuachiwa arudi nyumbani tulidhani TAKUKURU haijamkuta na ushahidi unaoweza kumtia kwenye hatia.
 
Harafu wanasema Mwendazake alikuwa muadilifu 😆😆..

Stay tuned wanakuja wengine.
 
Fisadi huyo afungwe maisha,japo sukuma gang watamtetea mwenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…