Deus Kaseke na Haruna Chanongo watua Yanga SC

Kwa yanga kumsajili kaseke sawasawa kabisa. Ila huyo chanongo siku yanga akifungwa na simba ....................
 
Angalia tofauti ya upendo wa mashabiki wa simba na wa yanga...nani atoke yanga kwenda mbumbumbu fc

Simba ni sawa na '... wenginee, wapo mashuleni, mambo wanayatamani kulea wanashindwa!'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…