Deus Kaseke na Haruna Chanongo watua Yanga SC

Deus Kaseke na Haruna Chanongo watua Yanga SC

Yanga inasajili kwa ajili ya ligi yetu ya kombe la mbuzi au kushindana na timu kama Tp Mazembe na Zamalek?

ndiyo wachezaji waliopo tz hao, au we unataka wasajiliwe akina nani?.
 
Bado dirisha la usajili halijafunguliwa

Subirini kidogo tu mtatangaziwa Simba yamsajili Juma Kaseja!!! Na atapambwa ile mbaya kumbe miaka miwili amesota benchi. Ni TZ na Simba bana
 
Kusajiliwa simba na yanga ni suala moja na kuonyesha uwezo ni suala lingine. Tusubiri ni suala la muda tutuona kama kaseke na mwalyanzi watamudu presha ya mashabiki wasio na subira wa simba na yanga.
 
sio nyeti alitamka waziwazi yule kepteni H.P kuwa hali ya uchumi ni mbaya.

Ahsante kwa kulitambua hilo.....Naona pumzi ya yanga imeshikiliwa na manji akikata mirija yake yanga inakufa.TRUST MY WORDS
 
Ahsante kwa kulitambua hilo.....Naona pumzi ya yanga imeshikiliwa na manji akikata mirija yake yanga inakufa.TRUST MY WORDS

Kabla manji alikuwepo gulamali na baada ya manji nitafata mimi...bado reginald mengi sijamtaja hapo
 
Chanongo hapo atacheza bila hujuma maana hiyo ndo timu yake. Yanga muangalieni Msuva, anashinda na kula Yanga ibada anafanyia Simba.
 
Chanongo hapo atacheza bila hujuma maana hiyo ndo timu yake. Yanga muangalieni Msuva, anashinda na kula Yanga ibada anafanyia Simba.

Kwa lipi linalowaaminisha kuwa msuva ni simba,kama kuwafunga kawafunga,ndoo tumebeba naye,kwenda simba kakataa,hizo siasa za kuwalazimisha wachezaji ushabiki zipo simba tu,huku yanga wachezaji wote tunawapenda hata kama wametokea simba ,ndo mana haijawai kutokea mchezaji mzuri ambaye yupo on fire akatoka yanga kwenda simba labda kama hatumtaki wenywe au amkwisha na anakwenda kustafafia mbumbumbu...mchezaji yeyote akifika yanga anakuwa rafiki wa mashbiki wote wa yanga automatically anakuwa shabiki mchezaji
 
Attachments

  • 1432568460794.jpg
    1432568460794.jpg
    5.1 KB · Views: 477
Chanongo hapo atacheza bila hujuma maana hiyo ndo timu yake. Yanga muangalieni Msuva, anashinda na kula Yanga ibada anafanyia Simba.

Angalia tofauti ya upendo wa mashabiki wa simba na wa yanga...nani atoke yanga kwenda mbumbumbu fc
 
Attachments

  • 1432569423611.jpg
    1432569423611.jpg
    6.6 KB · Views: 456
  • 1432569453022.jpg
    1432569453022.jpg
    5.6 KB · Views: 459
  • 1432569493661.jpg
    1432569493661.jpg
    6.5 KB · Views: 460
  • 1432569794784.jpg
    1432569794784.jpg
    50.4 KB · Views: 155
Back
Top Bottom