cnjona
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 1,027
- 239
Yanga inasajili kwa ajili ya ligi yetu ya kombe la mbuzi au kushindana na timu kama Tp Mazembe na Zamalek?
ndiyo wachezaji waliopo tz hao, au we unataka wasajiliwe akina nani?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga inasajili kwa ajili ya ligi yetu ya kombe la mbuzi au kushindana na timu kama Tp Mazembe na Zamalek?
Bado dirisha la usajili halijafunguliwa
kwa mfano mchezaji gani wa nchi hii anafaa kusajiliwa yanga?.
SO WHAT?.....Wachezaji wenyewe mnawakopa hamna uwezo wa kuwalipa mishahara
chama hili halikopeshi...
Hahahaaaa.....huwezi jua kaka. Tuulize sisi wenye nyeti zote
........Kitale!!
sio nyeti alitamka waziwazi yule kepteni H.P kuwa hali ya uchumi ni mbaya.
mtakuwa mpo kijiwe kimoja kwenye ile staili...
Ahsante kwa kulitambua hilo.....Naona pumzi ya yanga imeshikiliwa na manji akikata mirija yake yanga inakufa.TRUST MY WORDS
Kabla manji alikuwepo gulamali na baada ya manji nitafata mimi...bado reginald mengi sijamtaja hapo
Naona unajipa matumaini fake kaka/dada
Yap,ni kama ww unavojipa matumaini ya kushiriki kagame cup ya mwaka huu
Chanongo hapo atacheza bila hujuma maana hiyo ndo timu yake. Yanga muangalieni Msuva, anashinda na kula Yanga ibada anafanyia Simba.

asante