Kama ni hivyo Yanga watakuwa walibugi sana.Mchezaji kama Deus Kaseke sio wa kumuachia kirahisi rahisi namna hiyoMkataba wake uliisha... Yanga walitaka wamsaini bure ila mshahara uwe milion 2, wkat singida walitaka asaini kwa milion 30 afu mshahara uwe milion 1... Wote mikataba ni kwa miaka miwil, hapo akili kumckichwa
Kweli aisee.............Ni kiongozi gani wa Yanga alie idhinisha kuuzwa kwa Deus Kaseke Singida United.How comes unamuuza mchezaji mwenye uwezo na msaada mkubwa katika timu kama Deus Kaseke ? Viongozi wa Yanga kama mnapitiaga JF tafadhali fanyeni mpango Deus Kaseke arudi Yanga msimu ujao