Deus Kaseke

Deus Kaseke

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Ni kiongozi gani wa Yanga alie idhinisha kuuzwa kwa Deus Kaseke Singida United.How comes unamuuza mchezaji mwenye uwezo na msaada mkubwa katika timu kama Deus Kaseke ? Viongozi wa Yanga kama mnapitiaga JF tafadhali fanyeni mpango Deus Kaseke arudi Yanga msimu ujao
 
Mkataba uliisha mkuu,na kijana hataki kushinda na njaa kwenye viunga vya Jangwani.
Ikambidi afanye maamuzi magumu ya kuhamia kwa baba ake Pluijm
 
Mkataba wake uliisha... Yanga walitaka wamsaini bure ila mshahara uwe milion 2, wkat singida walitaka asaini kwa milion 30 afu mshahara uwe milion 1... Wote mikataba ni kwa miaka miwil, hapo akili kumckichwa
 
Kama ni hivyo Yanga watakuwa walibugi sana.Mchezaji kama Deus Kaseke sio wa kumuachia kirahisi rahisi namna hiyo
 
Ni kiongozi gani wa Yanga alie idhinisha kuuzwa kwa Deus Kaseke Singida United.How comes unamuuza mchezaji mwenye uwezo na msaada mkubwa katika timu kama Deus Kaseke ? Viongozi wa Yanga kama mnapitiaga JF tafadhali fanyeni mpango Deus Kaseke arudi Yanga msimu ujao
Kweli aisee.............
 
Back
Top Bottom