Deus Kibamba: Maridhiano yawe kati ya Serikali na Watanzania, sio CCM na CHADEMA

Deus Kibamba: Maridhiano yawe kati ya Serikali na Watanzania, sio CCM na CHADEMA

Jinga hilo!

Unaridhiana na picha za marehemu?

Na watu waridhiane kwa kitu gani??

Ipo wapi miili ya watu waliouwawa ndugu zao wameambulia kuzika picha, nguo na viatu?
 
Anajaribu kufanya balance asionekane ni chawa. Hakuna maridhiano bila uwajibikaji. Hiyo anayoiita serikali inatakiwa kujiuzulu mara moja na kurudiwa kwa uchaguzi huru na wa haki na kisha serikali mpya ya wananchi ianze kufanya kazi ya kuwasaka na kubaini nani aliyeuwa wa-Tanzania siku ya 29 oktoba na wote waliohusika bila kujali ukubwa au udogo wao wakahukumiwa kwa haki mbele ya macho ya wa-Tanzania.
 
Deus anapotosha, yaani kama aliyekuwa waziri wa Ulinzi aliyetakiwa kuhojiwa na tume ndiye anayehoji watu then unategemea maridhiano.

Upumbavu ni kipaji.
 
Back
Top Bottom