Deus Kibamba ni puppet wa CCM: kwani nasema hivyo?

Mkono uende kinywani baba
 
Alikuwa na taasisi ya mambo ya katiba na akaiombea ufadhili wa bilions, akazipata, alivyotumia anajua mwenyewe, sisi tunaona mashavu tu yanatuna, kwa nini asiwe mpole kwa CCM? Maana CCM wana kiwashio cha petroli na ushahidi wanao, humuoni alivyopoa?
Ukichosema kina dalili za ukweli kwa asilimia 90. Endapo aliifanyia mipango mingine tofauti na malengo cash iliyoingia katika NGO yake ...,tayari anakuwa amengia katika mtego, kama ambavyo wakurugenzi wa halmashauri zenye hati chafu wanavyoshikwa pabaya...,wanakuwa hawana namna zaidi ya kuwezesha mgombe wa asiyetakiwa kushinda kwa gharama yotote. Akikataa kuwezesha, anakutana na kesi ufujaji wa fedha za halmashauri..
 
Mambo yake mauchie mwenyewe ndivyo alivyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…