Deus Kibamba ni puppet wa CCM: kwani nasema hivyo?

Deus Kibamba ni puppet wa CCM: kwani nasema hivyo?

1. Ukiona mtu amepewa airtime na TBC, ujue katumwa na CCM/serikali. Leo namuona anaongea TBC eti miswada isiondolewe bungeni, maana ikiodolewa haitarudi tena.

2. Kwa hiyo anamaanisha kuwa twende kwenye uchaguzi na sheria mbovu yatokee yale yale ya 2020 chini ya magufuli! Huyu ana akili kweli?
3. Huyu ni mpuuzi sana being driven by tumbo lake na familia yake!
Mkono uende kinywani baba
 
Alikuwa na taasisi ya mambo ya katiba na akaiombea ufadhili wa bilions, akazipata, alivyotumia anajua mwenyewe, sisi tunaona mashavu tu yanatuna, kwa nini asiwe mpole kwa CCM? Maana CCM wana kiwashio cha petroli na ushahidi wanao, humuoni alivyopoa?
Ukichosema kina dalili za ukweli kwa asilimia 90. Endapo aliifanyia mipango mingine tofauti na malengo cash iliyoingia katika NGO yake ...,tayari anakuwa amengia katika mtego, kama ambavyo wakurugenzi wa halmashauri zenye hati chafu wanavyoshikwa pabaya...,wanakuwa hawana namna zaidi ya kuwezesha mgombe wa asiyetakiwa kushinda kwa gharama yotote. Akikataa kuwezesha, anakutana na kesi ufujaji wa fedha za halmashauri..
 
Back
Top Bottom