Deusdedit Balile adai Ngorongoro hakuna makaburi hivyo Wamasai waondolewe Ngorongoro kuwaepusha kuendelea kuliwa na Wanyama

Deusdedit Balile adai Ngorongoro hakuna makaburi hivyo Wamasai waondolewe Ngorongoro kuwaepusha kuendelea kuliwa na Wanyama

Ukweli ndio huo ! Wamasai wengi hawaziki na wanaogopa sana maiti na mgonjwa mtu akifa au kuumwa sana wanakimbia boma kabisa!
[emoji848][emoji849]
Halafu wanaenda wapi sasa?wanajenga sehemu nyingine ama?
 
Kuna sheria inayosema ukiamka muamkie au msalimie mzazi wake? kwa nini unamsalimia mzazi wako?
Yawezekana wewe ndo Balile mwenyewe, huo ni utamaduni siyo sheria. Huwezi tiwa hatiani na mahakama kwa kutomwamkia mzazi wako au mtu yeyote. Ni utamaduni lazima uheshimiwe.
 
Acha ramli! achavwatu waongee

Unatetea nini sasa!?
Unamtetea Balile?
Unaitetea hifadhi ya ngorongoro?
Au unatetea wamasai wasiliwe na wanyama?

Kama unatetea wamasai wasiliwe na wanyama uje na hoja yenye mashiko kwa jamii nzima ya wamasai, maana hawaliwi ngorongoro tuu. Hata sehemu zingine wanamosihi yanatokea hayohayo

Binafsi hili swala la ngorongoro sijalifuatilia kiundani ili niweze ku take side, na siwezi kusema wamasai waondolewe au wabaki ngorongoro, ila ninachosema njooni na hoja za kueleweka kama watu wazima wenye wameenda na shule acheni longolongo zinawadhalilisha

YEHODAYA hawa watu wanazingua inabidi ile amshaamsha ya JPM irudi
 
Hebu fikiria halafu tukisema waandishi wengi wa habari mabwege wanabisha halafu utaisikia wanaitana mwaadishi nguli Balile!!!!!

Kabisa waandishi hawajui hilo
Hivi Tanzania hii kuna Mwandishi nguli Kwa Sasa? Labda kwenye Mambo mepesi mepesi kama vigodoro na singeli. Lakini hata soka tu haina Mwandishi nguli ni mwendo wa ubabaiahaji tu.
 
Tuna waandishi wa habari wa hovyohovyo sana nchini mwetu...mtu kma balile,kitenge,msiba ni watu wenye upungufu wa akili wanamiliki vyeti ya DSJ chuo cha mtaani,unategemea waandike habari yenye manufaa,kitenge ni mjivuni mpka akienda kujisaidia anapiga picha
Hahhaha.. Bavicha una nena kwa lugha?

Yani leo Kitenge Na Balile ni waandishi wa hovyo?
 
Ukweli ndio huo ! Wamasai wengi hawaziki na wanaogopa sana maiti na mgonjwa mtu akifa au kuumwa sana wanakimbia boma kabisa!
hii inafanyika ngorongoro tu au hata wakiwa sehemu nyingine tuanzie hapo, mbona wahindi wanachoma miili ya marehemu?
 
Kuna hotel zinataka kujengwa pale ! Wamasai watachafulia hadi waone tanzania siyo nchi yao ! Duuh hii nchi ngumu sana! Tayari wanahabari walichapewa cha kwao mapema.
Hivi , ebu nikumbushe, Kazi ya Tony Blair tuliyompa ni ipi vile.
====
Balile aiseee! Kweli yupo tayari aone wenzake wakilia ili afurahi. Kwa hiyo, anawaamisha hapo Ngorongoro ili waanze kuzika? Sijamuelewa mjue!
 
.
20220127_212916.jpg
 
Nilitegemea ungejibu wamasai wanazika wapi ili kuivunja zaidi hoja ya huyo jamaa ila badala yake umeuliza maswali mengi mkuu hadi kuhusisha na wajaruo.

Uzi ungependeza kama ungepunguza maswali
Kwa nini unataka wamasai wazike? Ni lazima kuzika?
 
Back
Top Bottom