Deusdedit Balile adai Ngorongoro hakuna makaburi hivyo Wamasai waondolewe Ngorongoro kuwaepusha kuendelea kuliwa na Wanyama

Kwa nini unataka wamasai wazike? Ni lazima kuzika?
Mkuu,umekosea ku quote ? mimi nataka mleta mada ajibu hoja za huyo anayemuongelea hapa, inaonekana mleta mada anayo majibu lakini ameshindwa kujibu
kwa kifupi,mimi silielewi hilo swala linalozungumziwa hapa ila nilitaka tu kufahamu ni kweli wamasai hawaziki kama inavodaiwa kwamba huyo jamaa kasema ?
 
Huyo jamaa kabla ya kumjibu , hakupaswa kabisa kuuliza hilo swali kwa kua kuzika sio lazima
 
Kwani bado kuna vikaki?

Si aliondoka navyo dhalimu wako na mama anaupiga mwingi?
Hivi maisha yako yote upo Kwa ajili ya kumwongelea Magufuli tu? Alikuwa malaika kabla hajafa? Si alituahidi akifa ndo atakuwa Mkuu wa malaika?
 
Katika muda mrefu uliopita tangu wamasai waishi Ngorongoro wengi wamekufa.Huyo kanjanja atuletee picha hata 20 za nyumba zilizotekelezwa kwa sababu kuna mmasai amekufa ndani.
Hoja kwamba wamasai wamejenga nyumba za kudumu Ngorongoro inakubalianaje na hoja ya huyu kanjanja kwamba mmasai akifa wanamfungia kondoo mlangoni?
Yaani wanaacha nyumba zao za kudumu kwa sababu mmoja wao kafa?
Kuna kanjanja mwingine anasema kwenye clip mojawapo kwamba nyumba zina umeme wa solar hivyo kufanya wanyama kukimbia kwa mwanga.Ndio hizo nyumba wamasai wanazikimbia wakifiwa?
 
Baada ya Maulid Kitenge kufanya tour na timu yake Ngorongoro watu walijitokeza nakusema alivyolipwa na kwamba ana tekeleza matakwa ya watu flani na siyo utashi wake.

Siku chache Balile kawaitisha vyombo vya habari na wanahabari kuwashawishi au kupiga kampeni kuwaondoa Wamasai Ngorongoro. Nilichochukizwa na huyu mtu ni pale alipomhusisha Mungu kwenye uongo.

Anaeleza kwamba Ngorongoro hakuna Makuburi Kwa maana Hiyo Masai akiugua wanamwacha Ndani wanafungua milango ya maboma Kisha wanafungia kondoo nje Ili fisi au mnyama mkali akija kula MBUZI ale na mgonjwa Kisha wao wanakimbia.

Naomba kumuuliza, anajua maboma ya kimasai yanafungwa na Nini? Anajua kwamba uhitaji kufunga MBUZI mlangoni Kwa sababu MBUZI na binadamu wanaishi pamoja? Anajua Ngorongoro maboma hayana hata Hiyo milango? Anaelewa kwamba suala la kuzika kwenye makaburi limeanza hivi karibuni na kwamba Wajaluo wakizika walikuwa wanapitisha mifugo kuondo kabisa kaburi Kisha wanapanda miti?

Anaelewa kwamba miaka ya zamani Kagera waliishi bila makaburi, anaelewa kwamba wapo watu wanachomwa na kwa msingi wa tamaduni zao uwezi kukuta makaburi? Anaelewa kwamba huko Longido wapo wazee wa Mila wamezikwa hata miaka ya karibuni na viongozi wa kisiasa walishiriki mazishi? Anaelewa kwamba Kila kabila Lina tamaduni zao? Amewahi kujiuliza Hadzabe wanazika VIPI? Amewahi kujiuliza wasukuma porini wanafanyaje wakipata msiba?

Huyu mtu anaishi Dar es Salaam akisubiri alipwe pesa ya safari anajulia wapi Mila na desturi za makabila mengine? Lakini anapotumia vyombo vya habari kuvictimize kabila flani Kwa sababu tu awapendi au hakuna Ndugu zake huko analiweka wapi Taifa? Kwamba alikozaliwa kuna maskini na watoto wengi awaendi shule na anaficha AIBU ya familia yake na ukoo then anaanza kutumia vyombo vya habari kudhalilisha makabila mengine, haya NDIYO aliyofundishwa?Kama ana uchungu yeye na hao waandishi wenzake kwanini wasiandike changamoto za elimi za watoto waliopo vijijini kwao?

Tunapotumia vyombo vya habari kupenyeza agenda let us be neutral. Hatuwezi kutumia vyombo vya habari kudhalilisha Masai Kwa sababu tu awajui kusoma na kuandika na sisi tumesoma. Hatuwezi kudhalilisha maginalized group kwa sababu tu tumejaliwa Kuishi maisha Mazuri na madaraka tunayo. Since 1956 Serikali haikuona hao Wamasai wanaliwa na wanyama waje waone akina Balile Leo? Miaka yote hakuna clip ya hiki anachokisema ,Hana evidence ya MBUZI aliyefungwa kwenye boma kuvutia fisi waje kumla binadamu anapata wapi ñguvu yakuwaambia wanahabari mambo ya hovyo hivi?

Nani anawalipa Hawa watu? Kwa malengo Gani? Tunakumbuka utoroshaji wa twiga? Mambo yalianza hivihivi , tuwe makini na bahasha za matajiri na tukizipokea tusimomonyoe nchi, tule tuiache nchi ikiwa salama. Serikali inaweza kabisa kuwaondoa Masai bila propaganda wala kuwadhalilisha.
UMEZUNGUKA MBUYU,ILA BADO HUJAMJIBU Balile!

Kwangu mimi Balile yuko sahihi.

[emoji871]Je!
Ni uongo kwamba Ngorongoro hakuna Makaburi?

[emoji871]Je!
Ni uongo kwamba wamasai kwa ajili ya utamaduni huo.
Wamewahi kuripotiwa mara kadhaa wakitelekeza maiti au wagonjwa mahututi mahospitalini?

[emoji871]Unapotaka ushahidi wa picha za nyumba zilizohamwa kwa kukimbia maiti huko mbugani Ngorongoro.

[emoji871]Je hakuna maboma au Emanyatta zinazohamwa na kuachwa tupu?

[emoji871]Ebu tupe sababu zake mkuu?

[emoji871]Kwa nini unalazimisha kuongelea na kuziingiza mila nyingine ambazo wala hazihusiki na mgogoro huu wa Ngorongoro?

[emoji871]Suala au hoja hapa ni matokeo ya uharibifu wa Mazingira unaosababishwa na makundi yao ya mifugo na idadi yao wamasai kupitiliza kiwango.

[emoji871]Pia mbwa wa wamasai kuongezeka huku wakiishi kwa kurarua watoto wa swala na wanyama wengineo wa porini.

[emoji871]Acheni kutuhumu watu kwa uongo wenu!

[emoji871]Hivi hao wamasai wa Ngorongoro wamekuwa Waisraeli kwenye nchi yao ya ahadi?

[emoji871]Je!
Hao wamasai wa Ngorongoro ndio wenye haki pekee ya kutibiwa bure na serikali kuliko wananchi wa kata zingine nchini?

[emoji871]Je!
Hao wamasai wa Ngorongoro ndio wenye haki pekee ya kusomeshwa bure na serikali kuliko wananchi wa kata zingine nchini?

[emoji871]Je!
Hao wamasai wa Ngorongoro ndio wenye haki ya kununuliwa chakula na serikali kwa muda wote huku wananchi wengine wakiishi kwa jasho lao?

[emoji871]Wamasai pamoja na kuharibu Mazingira na kutishia uwepo wa hifadhi ya Ngorongoro.

[emoji871]Bado wanadekezwa kwa kupewa huduma zote bure na serikali.

[emoji871]Yoote hii ili iweje?

[emoji871]Umefika wakati wa kusema hapana!

Mbona Bonde la #IHEFU iliwezekana?
 
Jambo la kushangaza hivi masai hawana viongozi wao kuanzia ngazi ya kijiji hadi mbunge wa kuwasemea matatizo yao huko ngorongoro hadi Maulid kitenge na balile ndo waibuke kuwa wasemaji wa changamoto za umasaini, basi kumbe bahasha zinapofusha akili na ufahamu......
 
kila kabila lina tamaduni zake....tunasahau ni WATANZANIA wenzetu kabisa....ile hoja ya UZALENDO kwanza imeishia wapi...au ni UNAFIKI wa kujipendekeza ili tuwemo kwenye TEUZI...????kumbukeni.....MAASAI iko mpaka kenya...na wote hao ni jamii moja..anaamkia TZ, lunch anakuwa KE.....ni wamoja.....ufugaji ni asili yao......SERIKALI ihakikishe hawaporwi haki na tamaduni zao......iwe pameuzwa au kwa ajili ya hifadhi....ni WAJEURI hao.....japo wana kaubaguzi fulani....yes wanatuita mutu ya nguo (URUMEKII).....HAIONDOI U-TANZANIA WAO....
 
Baada ya Maulid Kitenge kufanya tour na timu yake Ngorongoro watu walijitokeza nakusema alivyolipwa na kwamba ana tekeleza matakwa ya watu flani na siyo utashi wake.

Siku chache Balile kawaitisha vyombo vya habari na wanahabari kuwashawishi au kupiga kampeni kuwaondoa Wamasai Ngorongoro. Nilichochukizwa na huyu mtu ni pale alipomhusisha Mungu kwenye uongo.

Anaeleza kwamba Ngorongoro hakuna Makuburi Kwa maana Hiyo Masai akiugua wanamwacha Ndani wanafungua milango ya maboma Kisha wanafungia kondoo nje Ili fisi au mnyama mkali akija kula MBUZI ale na mgonjwa Kisha wao wanakimbia.

Naomba kumuuliza, anajua maboma ya kimasai yanafungwa na Nini? Anajua kwamba uhitaji kufunga MBUZI mlangoni Kwa sababu MBUZI na binadamu wanaishi pamoja? Anajua Ngorongoro maboma hayana hata Hiyo milango? Anaelewa kwamba suala la kuzika kwenye makaburi limeanza hivi karibuni na kwamba Wajaluo wakizika walikuwa wanapitisha mifugo kuondo kabisa kaburi Kisha wanapanda miti?

Anaelewa kwamba miaka ya zamani Kagera waliishi bila makaburi, anaelewa kwamba wapo watu wanachomwa na kwa msingi wa tamaduni zao uwezi kukuta makaburi? Anaelewa kwamba huko Longido wapo wazee wa Mila wamezikwa hata miaka ya karibuni na viongozi wa kisiasa walishiriki mazishi? Anaelewa kwamba Kila kabila Lina tamaduni zao? Amewahi kujiuliza Hadzabe wanazika VIPI? Amewahi kujiuliza wasukuma porini wanafanyaje wakipata msiba?

Huyu mtu anaishi Dar es Salaam akisubiri alipwe pesa ya safari anajulia wapi Mila na desturi za makabila mengine? Lakini anapotumia vyombo vya habari kuvictimize kabila flani Kwa sababu tu awapendi au hakuna Ndugu zake huko analiweka wapi Taifa? Kwamba alikozaliwa kuna maskini na watoto wengi awaendi shule na anaficha AIBU ya familia yake na ukoo then anaanza kutumia vyombo vya habari kudhalilisha makabila mengine, haya NDIYO aliyofundishwa?Kama ana uchungu yeye na hao waandishi wenzake kwanini wasiandike changamoto za elimi za watoto waliopo vijijini kwao?

Tunapotumia vyombo vya habari kupenyeza agenda let us be neutral. Hatuwezi kutumia vyombo vya habari kudhalilisha Masai Kwa sababu tu awajui kusoma na kuandika na sisi tumesoma. Hatuwezi kudhalilisha maginalized group kwa sababu tu tumejaliwa Kuishi maisha Mazuri na madaraka tunayo. Since 1956 Serikali haikuona hao Wamasai wanaliwa na wanyama waje waone akina Balile Leo? Miaka yote hakuna clip ya hiki anachokisema ,Hana evidence ya MBUZI aliyefungwa kwenye boma kuvutia fisi waje kumla binadamu anapata wapi ñguvu yakuwaambia wanahabari mambo ya hovyo hivi?

Nani anawalipa Hawa watu? Kwa malengo Gani? Tunakumbuka utoroshaji wa twiga? Mambo yalianza hivihivi , tuwe makini na bahasha za matajiri na tukizipokea tusimomonyoe nchi, tule tuiache nchi ikiwa salama. Serikali inaweza kabisa kuwaondoa Masai bila propaganda wala kuwadhalilisha.
Wakati tunapata uhuru Tanzania watu walikuwa milioni 8 au 9, leo tupo milioni 60 tuchukulie endapo wamasai walikuwa laki 2 kipindi hichi leo wapowangapi kuna uwezekano wa wamasai kuongezeka hadi kufikia milioni 1.4 je ngorongoro ina uwezo wa kuhimili hilo ongezeko? tuache ujinga Ngorongoro haina uwezo wa kubeba hilo ongeko, watu tunatetea ujinga bila kufanya utafiti wa kiikolojia tubaini athari za ongezeko la binadamu katika mazingira ya hifadhi zetu.
 
Back
Top Bottom