Je kama halipi anataka mshirikiane?hapo cha msingi developer angemsikikiza client na kumpa bei. japo developing syatem without analysis ni mtihan.
kama ndo kwenye kushirikiana hapa kwa kweli na heshimu software usability sipendi nifanye kazi alaf isiwe na user supportJe kama halipi anataka mshirikiane?
Project inaweza zungumzwa na ukaieiewa ila shida inakuja kwenye outcome.Kwa upande wako mara tu ulivyompokea client wako baada ya kukuelezea yote visibility yako kwenye hiyo project unaionaje?
Developer ndo anamakosa, soma hapa developer ni nani..... Story of Change - Utofauti computer developer vs programmer vs coder [Kiswahili]Mnalionaje hili?
kuna mtu alimfata Developer akamwambia kuwa ana idea waitengenezee software, Developer akamwuliza tafiti uliyofanya iko wapi?
MDAU AKABAKI ANANG'AANG'AAA MACHO TU BAADA YA MUDA AKAMJIBU ETI, BASI ACHA TU NITATAFUTA DEVELOPER MWINGINE WEWE UNA MAMBO MENGI.
Sasa mtu kama huyu ameulizwa swali badala ya kujibu ndio au sio anasema maneno kama hayo.
Kwa maneno kama hayo hapo
Je. nani mkosaji au kuna tatizo gani na liko upande wa nani na kwa sababu gani maana wameshindana kwa maneno hayo
Ulichoandika sikielewi aisehDeveloper ndo anamakosa, soma hapa developer ni nani..... Story of Change - Utofauti computer developer vs programmer vs coder [Kiswahili]
Jitahidi ukielewe kwa kurudia kusomaUlichoandika sikielewi aiseh