Developers !! Wazee wa code tukutane hapa GRAPHICAL USER INTERFACE DESIGN

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habaran wana jamii leo nimekuja hapa tujifunze jinsi ya kutengeneza GUI apps

Naomben kujua ni application gan nzur kwa kudesign GUI

Tayar nkmeshasoma programming language zote C.C++.PYTHON.java. my sql .HTML .php .c#

Ila sasa nataka nijue kutengeneza GUI maswali yangu ni haya.

1.je kila programming language in GUI deaign app yake.

2.zp ni apps nzur kwa GUI design
 
MKUU GUI NI NENO PANA JARIBU KUWA SPECIFIC WAPI KATIKA SOFTWARE DESIGN(IE. MOBILE, DESKTOP, WEB APP) UNATAKA KUFAHAMU HIZO UNAZOITA APP
 
Nataka kutengeneza deaktop na android app sasa nimeshasoma programming language zote c++.c.python .java.c= nk sasa nauliza nikitaka nitengeneze GUI naanzia wap mfano nimeandika c program ya snake game nikitaka nitengeneze GUI nafanyaje
 
Mkuu, kama upo serious unauliza swali hili basi bado hujakifahamu ulichojifunza.
Halafu unawezaje kusoma programming language zote?. Kuliko kujikita na lugha nyingi ambazo hujui hata unazitumia vipi ni bora uka concentrate kwenye moja utakayo imaster.
Btw, huwezi jifunza kila kitu kwenye P/language.
 
teh teh teh......
hayo mazoezi ya html code ulikuwa unafanyia wapi?
 
Nataka kutengeneza deaktop na android app sasa nimeshasoma programming language zote c++.c.python .java.c= nk sasa nauliza nikitaka nitengeneze GUI naanzia wap mfano nimeandika c program ya snake game nikitaka nitengeneze GUI nafanyaje
kuna software unazoweza kutumia kufanya design ya hizo app mfano ni XD na AI(adobe XD na adobe illustrator).

Lakini hizo zinakupa assets tu kama icon na image unazoweza apply kwa component muhimu.

kama unataka kutumia IDE moja kwa moja basi kwa android app tumia android studio ina built in designer na inakubidi usome XML pia.
Kwa desktop appliction kuna visual studio IDE check kitu kinaitwa window forms huko google basi utakuwa umefikia hatma yako.

Lakini ilo ligemu la C language litupe uvunguni, nenda kakomae na C++,C#, Java au javascritpt na si lazima usome zote, with the help of game engine kama unreal engine, unity, Game maker au Godot. kama unataka kujifunza mdogo mdogo unaweza anza na C++ with opengl au sfml hizi zitakupa mwanga.

Chagua moja kusuka ama kunyoa, kuoga ama kula, kulala ama kukesha.

Wako mtiifu mathsjery.
 
<html>
<body>
hiyo GUI,algorithm ni miongoni mwa misamiati ambayo inanikatisha tamaa kwa kuchomekea naombeni mnielezee japo juujuu
</body>
</html>
 
Nataka kutengeneza deaktop na android app sasa nimeshasoma programming language zote c++.c.python .java.c= nk sasa nauliza nikitaka nitengeneze GUI naanzia wap mfano nimeandika c program ya snake game nikitaka nitengeneze GUI nafanyaje
Mmi nafahamu kwa upande wa android na ios tu.

Android unatumia xml kwenye layout editor ndani ya android studio

iOS unatumua Storyboards or SwiftUI na editor yake ndani ya Xcode

UI/UX mockup design unaweza tumia AdobeXD or Figma ndio rahisi
 
Hii ni kwaajili mockup and designing. Hai translate to code unayoweza tumia kwenye app yako
Sasa si lazima aanze na designing then ndio achape code kama anataka kitu kizuri, kinyume aruke hatua ya designing atengeneze ilimradi kitu/ game.
 
Inachapa hadi Mobile.
Kwa ninanvyofahamu ni kwamba unaweza export assets tu kma icons, background, etc in form of svg ambayo unaweza import kwenye app yako. Lakini hawakupi xml (on android side) inayotumika kwenye layout files for UI. Same kwa ios hawakupi code for Storyboards or swiftui.

Sema kwa android xml kuna services ambazo wanachukua xd file lako na wanakupa hand-written code. Ila ni ya kulipia.

Pia Figma ndio wana plugin kwaajili ya SwiftUI na Storyboards.

Mm naongelea upande wa mobile tu, ndio nnaoufahamu. Sijui kuhusu web
 
Ok nashukuru wadau kwa michango yenu na nimefungua hii thtead makusud ili kujipambanua zaid niliamin kuna vitu watu wanajua ambavyo mm cvijui sasa kwanza naomba tuanze hapa ni programming gan language ni nzur na lazima mtu uzijue
C
C++
Java
Python
C#
Sasa tuanzie hapo ipi ni bora na matumiz yake ni yapi na yapi kwa end user na kaz gan haiwez kufanya

Pili kwenye database najua ni lazima ujue MySQL

Kwenye kutengeneza website hii ipo waz ni HTML na PHP
 
Unatakiwa ujue kwanza ni kitu gani unataka kutengeneza. Native mobile apps, multiplatform apps, mobile games, pc games, console games, pc apps, web apps or websites, n.k. Ukishajua kipi unataka kuspecialize unachagua language husika na unasoma vzr na kujua inatumikaje kwenye platform husika.

Usitake kujua kila kitu ndio uaanze kuspecialize. Mwsho unakua "Jack of all trades, master of none". Utakua unajua language nyingi lakini huwezi kuziapply kutengeneza software/app.

Lkn generally C++, Java, Python, Javascript zinatumika sehem nyingi sana kwenye platform tofauti tofauti na markdown languages kma XML, HTML na CSS ni muhim pia maana ni lazima utazitumia at some point.
 
Ok nimekusoma kiaina ila apo makedown language sijakuelewa XML.HTML hz nazifahamu km makeup language

Pia mm shida yangu kutengeneza apps za mawasiliao au forums au let say blog km vile facebook.instagram .jamii form nk najua ni jambo pana ndio maana nataka nilione kwa upana zaid
 
Sorry, namaanisha *markup language
 
Back
Top Bottom