Ama kwa hakika watoto wetu watatushukuru sana, tunaandika historia vizuri. Hongera sana.
Kila nikikaa nikumbuke mapambano ya 80s ambapo nilihusika kwenye kupokea kichapo cha polisi ili tuipe nchi ukombozi wa pili, huwa napata fahari sana.
Nafahamu hatujafika, safari bado ni ndefu, lakini tulikotoka ndio mbaaaali kuleeee na tunakokwenda kunapendeza.