Uchaguzi 2020 Devota Minja (CHADEMA) aendelea na Kampeni kusaka Ubunge Morogoro Mjini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hakika ilikuwa ni lazima kumuengua Devota Minja ili asigombee Ubunge Morogoro Mjini, maana kumuacha kumeleta kifo cha ghafla kwa CCM.

Hali ndio kama mnavyoona wenyewe

Mjumbe wa kamati kuu , mchungaji Msigwa akimnadi Mgombea ubunge wa Chadema Morogoro mjini Devota Minja

 
Ameizika wapi? Acha kujidanganya wana Morogoro mjini na CCM ni ndugu hao...

Kwa harakaharaka hapo naona mkutano mzima hauna watu zaidi ya 1000 bado wa kumtoa abood hajazaliwa.
 
Hii nimeiona akseh, makamu wa raisi anastrugle kama level ya wabunge haea wale wa kawaida.

Na magu anasaidiwa na kujaza watu kupitia yale malori na mabasi, pia kujaza tutoto twa shule na kutumia wasanii amabao ni kivutio kwa watu wengi.
Anakusanya watu kuliko Makamu WA Rais na waziri mkuu.
 
Jamii ya kitumwa huwaza utumwa siku zote , Who is Abood by the way ? kuwapa magari ya kuzikia ndugu zenu waliokufa kwa umasikini ndio tija ?
Huo ndo ukwel mchungu! Devotha hana uwezo wa kumtoa Abood Moro! Msifurahishane humu!
 
Tatizo la CHADEMA muja bei ndogo sana ktk siasa!

Wewe unasema 'kumbe', sisi tunajua naye anaombwa akubali kwamba alipiga milioni 200 kutoka kwa waarabu wenzake na Abood ili ajiondoe. Ninyi mulisikitika, sisi tulijua ni soft exit. Bila shinikizo la chama, ndo alishajichotea hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…