Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
😆😆😆Kawadanganye wajinga, sio JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆Kawadanganye wajinga, sio JF
Kwanini usiende TAKUKURU?Tatizo la CHADEMA muja bei ndogo sana ktk siasa!
Wewe unasema 'kumbe', sisi tunajua naye anaombwa akubali kwamba alipiga milioni 200 kutoka kwa waarabu wenzake na Abood ili ajiondoe. Ninyi mulisikitika, sisi tulijua ni soft exit. Bila shinikizo la chama, ndo alishajichotea hivyo!
Anaweza kumtoa. Abood anaungwa mkono na wazawa wa Morogoro tu yaani waluguru wenzake ambao kwa sasa wamemezwa na wahamiaji. Makabila makuu mjini Morogoro ya wageni kwa sasa ni wachaga, waha na wagogo hawamuungi mkono na wanajiweza kibiashara hawajikombi wa Abood. Nadhani ni wakati Abood kutafuta majimbo ya milimani.Huo ndo ukwel mchungu! Devotha hana uwezo wa kumtoa Abood Moro! Msifurahishane humu!
Niende TAKUKURU kwa mtu aliyeamua kujiuza mwenyewe? That will be nonsensical!Kwanini usiende TAKUKURU?
SawaNiende TAKUKURU kwa mtu aliyeamua kujiuza mwenyewe? That will be nonsensical!