Uchaguzi 2020 Devota Minja (CHADEMA) aendelea na Kampeni kusaka Ubunge Morogoro Mjini

Uchaguzi 2020 Devota Minja (CHADEMA) aendelea na Kampeni kusaka Ubunge Morogoro Mjini

Tatizo la CHADEMA muja bei ndogo sana ktk siasa!

Wewe unasema 'kumbe', sisi tunajua naye anaombwa akubali kwamba alipiga milioni 200 kutoka kwa waarabu wenzake na Abood ili ajiondoe. Ninyi mulisikitika, sisi tulijua ni soft exit. Bila shinikizo la chama, ndo alishajichotea hivyo!
Kwanini usiende TAKUKURU?
 
Huo ndo ukwel mchungu! Devotha hana uwezo wa kumtoa Abood Moro! Msifurahishane humu!
Anaweza kumtoa. Abood anaungwa mkono na wazawa wa Morogoro tu yaani waluguru wenzake ambao kwa sasa wamemezwa na wahamiaji. Makabila makuu mjini Morogoro ya wageni kwa sasa ni wachaga, waha na wagogo hawamuungi mkono na wanajiweza kibiashara hawajikombi wa Abood. Nadhani ni wakati Abood kutafuta majimbo ya milimani.
 
ukiangalia kata walizoshinda CHADEMA udiwani mwaka jana zinawakazi wengi wahamiaji. Kata kama Mkundi, Kihonda, Bingwa, Kingolwira, Tungi, Rukobe na Area 5 na 6. Ni maeneo yenye watu wengi wageni wahamiaji na Abood hawezi ongoza maaeneo hayo. Kura za Abood zipo maeneo ya kati ya mji tu yaani Kichangani, Mji Mkuu, Mlimani na Msamvu tu.
 
Back
Top Bottom