OvaHuyo mama aendelee kupigilia misumari hapo hapo mtoke vizuri huko mlikojificha[emoji23][emoji23][emoji23]
abudi walikuwa na mabasi tangu mkoloni, babu yake alikuwa fundi gereji na baba yake alikuwa wakala wa Leyland Albion hivyo viwanda vilijengwa tayari akina abood matajiri,Ya abudi aliyanunua kwa kuuua viwanda Moro
mtu kachuma mali kwa jasho lake wewe unataka kupokonya unaleta umasikini wako kwenye maisha ya watu sio?Uzuri umesema hujaelewa mantiki, so usituletee mkurupuko. Kaulize update ufafanuzi!
Na sio hivyo tuu mpaka Mali za Jiwe na Bashite zote tutazitaifisha.mtu kachuma mali kwa jasho lake wewe unataka kupokonya unaleta umasikini wako kwenye maisha ya watu sio?
Kwahiyo Lisu anatutapeliNa sio hivyo tuu mpaka Mali za Jiwe na Bashite zote tutazitaifisha.
Unaweza kuwa tajiri kwa kuwa fundi gereji?abudi walikuwa na mabasi tangu mkoloni, babu yake alikuwa fundi gereji na baba yake alikuwa wakala wa Leyland Albion hivyo viwanda vilijengwa tayari akina abood matajiri,
yeye mbona ni mchagga na waluguru wamemkaribisha, nani asiyejua wachagga ni wezi?Unaweza kuwa tajiri kwa kuwa fundi gereji?
Hivi haya mahaba na wahindi mnayatowa wapi? Unadhani kuna muhindi ana mapenzi na mswahili?
Ujinga huu.
If that is the case she needs some retoolingHuyu mama wa Morogoro katika moja ya kampeni zake kasema CHADEMA ikiingia madarakani watayauza mabasi ya watu, sikuelewa mantiki ya kuyauza haya mabasi, wakati Lissu akijinadi CHADEMA ikiingia madarakani italinda na kuheshimu biashara za watu
Huyu mama wa zepipo anasema atapiga mnada biashara za watu sasa tuchague lipi? La Devotha au la Lissu?
Kama tumeanza kukamiana mapema hivi ikifika jioni itakuwaje?