Huyu mama wa Morogoro katika moja ya kampeni zake kasema CHADEMA ikiingia madarakani watayauza mabasi ya watu, sikuelewa mantiki ya kuyauza haya mabasi, wakati Lissu akijinadi CHADEMA ikiingia madarakani italinda na kuheshimu biashara za watu
Huyu mama wa zepipo anasema atapiga mnada biashara za watu sasa tuchague lipi? La Devotha au la Lissu?
Kama tumeanza kukamiana mapema hivi ikifika jioni itakuwaje?
Huyu mama wa zepipo anasema atapiga mnada biashara za watu sasa tuchague lipi? La Devotha au la Lissu?
Kama tumeanza kukamiana mapema hivi ikifika jioni itakuwaje?