Uchaguzi 2020 Devotha Minja chunga mdomo utakuponza

Hivi bado unawasikiliza chandimu!? Wasahajifia kitambo hawajui wanataka nini!
 
Atakuwa pandikizi huyuu...
 
Tusitishane....this year US Congress has made it very clear that they are following this election very keenly and due diligence has to be adhered as long there is compliance to the electoral election law to the letter that the winner should be declared fairly, transparently and less than that the consequences would be brutal....ICC...
Tutaelewana tuuu mwaka huuu...
 
Yani MaCCM nikama wana wagombea wawili wa uraisi kwenye chama chao

Kuna mmoja ana sema maendeleo hayana chama kuwa yeye ni raisi wa woote! na kuna mwingine anasema mkichagua upinzani sahauni, maendeleo hatuleti kama vile MaCCM pekee yao ndio yana lipa kodi.
 
Utakuwa Dereva wa Aboud wewe...pooole. Ila ungejiuliza swali jepesi kwanini Boss wako alihonga zaidi ya Mil.200 kwa wasimamiz wa uchaguzi ili jina la Devother lisirudi...
 
Mle Hueleweki,umetoka usingizini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…