PreGE2025 Devotha Minja wa CHAUMMA: John Heche atuambie amepewa kiasi gani kumpigia debe Mbunge wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Devotha Minja amedai kuwa Mbunge wa Morogoro Mjini Ablulaziz Abood ni chanzo cha kuua viwanda vya Morogoro.

Minja ametoa kauli hiyo Mkoani Geita ambapo amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche hivi karibuni alimsifia Abood kwa usimamizi mzuri wa biashara mithili ya kwamba apewe uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi Dar es Salaam.

Mwaka huu uchaguzi utakuwa mrahisi sana kwa CCM. Maana wapinzani focus yao ni wao kwa wao. CHAUMA, CDM etc ....full kushambuliana. wanasahau hata lengo lao la kuwa wapinzani. Uchaguzi ukiisha ndiyo wanarudi kuwa marafiki na kufanya upinzani wa kweli. CCM is there to stay...labda 2050 huko...
 
Kaa kimya we bibi, mwambie mrema na matapeli wenzie kina kigaila mrudishe hela za wenyewe Projecr ishabuma hiyo
 
Mijusi ya CCM iko kazini,kwani kumsifia mtu anapofanya vizuri nalo ni kosa?.
 
Mwaka huu uchaguzi utakuwa mrahisi sana kwa CCM. Maana wapinzani focus yao ni wao kwa wao. CHAUMA, CDM etc ....full kushambuliana. wanasahau hata lengo lao la kuwa wapinzani. Uchaguzi ukiisha ndiyo wanarudi kuwa marafiki na kufanya upinzani wa kweli. CCM is there to stay...labda 2050 huko...
Sidhan kama focus ya Cdm ni chauma, wao wamepeleka nguvu kwneye kampeni yao

Chauma wanaonekana kama lost deer , hawajui waanzie wapi
Naweza sema wamekuja late in the game
 
Wakuu,

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Devotha Minja amedai kuwa Mbunge wa Morogoro Mjini Ablulaziz Abood ni chanzo cha kuua viwanda vya Morogoro.

Minja ametoa kauli hiyo Mkoani Geita ambapo amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche hivi karibuni alimsifia Abood kwa usimamizi mzuri wa biashara mithili ya kwamba apewe uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi Dar es Salaam.

Alitaka apigiwe Debe yeye?
 
takataka.......subiri uingie kwenye uchaguzi upambane au ugawiwe na ccm
 
Kuna siri kubwa sana kati ya Heche,Lisu na Misngwa,watu wengi watakuja kugundua baadae kwamba walitumwa kuiua Chadema
 
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
 
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
 
Wakuu,

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Devotha Minja amedai kuwa Mbunge wa Morogoro Mjini Ablulaziz Abood ni chanzo cha kuua viwanda vya Morogoro.

Minja ametoa kauli hiyo Mkoani Geita ambapo amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche hivi karibuni alimsifia Abood kwa usimamizi mzuri wa biashara mithili ya kwamba apewe uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi Dar es Salaam.

Mwambie huyo mjinga, kuwa heche hakumpigia debe Abood, bali hoja ilikuwa kuwapa wazawa tenda ili kujenga uchumi wetu. na hakumsema tu Abood bali na Shabibi alimzungumzia.
 
Mwaka huu uchaguzi utakuwa mrahisi sana kwa CCM. Maana wapinzani focus yao ni wao kwa wao. CHAUMA, CDM etc ....full kushambuliana. wanasahau hata lengo lao la kuwa wapinzani. Uchaguzi ukiisha ndiyo wanarudi kuwa marafiki na kufanya upinzani wa kweli. CCM is there to stay...labda 2050 huko...
Hizi siasa chafu za kushambuliana ninyi kwa ninyi (wao kwa wao) zimeanzishwa na chadema. Wao Chadema wanajihesabia haki na pia yeyote anayekuwa na maamuzi yasiyo sawa na wao, anakua mshirika wa CCM kitu ambacho sio kweli. Bahati mbaya sana hawaoni kuwa CCM wanatumia vyema vita vya panzi.

Sasa na hao kina Minja na Kigaila, sababu bado wana uchadema wanaendeleza mtindo huo wa kusemana badala ya kueleza ni namna gani wao kama CHAUMMA wakipata nafasi watarekebisha matatizo yaliyopo Morogoro na sehemu nyinginezo

No reforms, No election🔥
 
Wakuu,

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Devotha Minja amedai kuwa Mbunge wa Morogoro Mjini Ablulaziz Abood ni chanzo cha kuua viwanda vya Morogoro.

Minja ametoa kauli hiyo Mkoani Geita ambapo amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche hivi karibuni alimsifia Abood kwa usimamizi mzuri wa biashara mithili ya kwamba apewe uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi Dar es Salaam.

Upuuzi mtupu
 
Back
Top Bottom