Sidhan kama focus ya Cdm ni chauma, wao wamepeleka nguvu kwneye kampeni yaoMwaka huu uchaguzi utakuwa mrahisi sana kwa CCM. Maana wapinzani focus yao ni wao kwa wao. CHAUMA, CDM etc ....full kushambuliana. wanasahau hata lengo lao la kuwa wapinzani. Uchaguzi ukiisha ndiyo wanarudi kuwa marafiki na kufanya upinzani wa kweli. CCM is there to stay...labda 2050 huko...
Alitaka apigiwe Debe yeye?Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Devotha Minja amedai kuwa Mbunge wa Morogoro Mjini Ablulaziz Abood ni chanzo cha kuua viwanda vya Morogoro.
Minja ametoa kauli hiyo Mkoani Geita ambapo amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche hivi karibuni alimsifia Abood kwa usimamizi mzuri wa biashara mithili ya kwamba apewe uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi Dar es Salaam.
takataka.......subiri uingie kwenye uchaguzi upambane au ugawiwe na ccmWakuu,
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Devotha Minja amedai kuwa Mbunge wa Morogoro Mjini Ablulaziz Abood ni chanzo cha kuua viwanda vya Morogoro.
Minja ametoa kauli hiyo Mkoani Geita ambapo amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche hivi karibuni alimsifia Abood kwa usimamizi mzuri wa biashara mithili ya kwamba apewe uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi Dar es Salaam.
Mwambie huyo mjinga, kuwa heche hakumpigia debe Abood, bali hoja ilikuwa kuwapa wazawa tenda ili kujenga uchumi wetu. na hakumsema tu Abood bali na Shabibi alimzungumzia.Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Devotha Minja amedai kuwa Mbunge wa Morogoro Mjini Ablulaziz Abood ni chanzo cha kuua viwanda vya Morogoro.
Minja ametoa kauli hiyo Mkoani Geita ambapo amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche hivi karibuni alimsifia Abood kwa usimamizi mzuri wa biashara mithili ya kwamba apewe uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi Dar es Salaam.
Hizi siasa chafu za kushambuliana ninyi kwa ninyi (wao kwa wao) zimeanzishwa na chadema. Wao Chadema wanajihesabia haki na pia yeyote anayekuwa na maamuzi yasiyo sawa na wao, anakua mshirika wa CCM kitu ambacho sio kweli. Bahati mbaya sana hawaoni kuwa CCM wanatumia vyema vita vya panzi.Mwaka huu uchaguzi utakuwa mrahisi sana kwa CCM. Maana wapinzani focus yao ni wao kwa wao. CHAUMA, CDM etc ....full kushambuliana. wanasahau hata lengo lao la kuwa wapinzani. Uchaguzi ukiisha ndiyo wanarudi kuwa marafiki na kufanya upinzani wa kweli. CCM is there to stay...labda 2050 huko...
Upuuzi mtupuWakuu,