Dewji hii ndo fursa, achana na Simba ya Kilomoni anzisha MO Simba FC , mashabiki tupo

Hao waarabu mnawabembeleza mno. Kakuta watu wana timu yao akae na heshima awaachie watu timu yao. Kama anajiona ana pesa akaanzishe timu yake. Awaachie watu timu yao.

Alishindwa African Lyon anang'ang'ania Simba.
 
Kuna Simba FC ipo Uganda nendeni mkawadai hati miliki😂😂😂😂 kuna wengine wamejaa huko maporini

Halafu kuna mifano:-
Manchester United FC
United of Manchester FC

Sheffield Utd
Sheffield Wed.

Etc
Unajua haki miliki ya hilo jina "SIMBA" lina thamani kiasi gani ?

Unadhani ni rahisi kuiita timu yake MO SIMBA aachwe tu?
 
Mdanganyeni aanzishe timu aiite SIMBA kwa lengo la kuzoa mashabiki wa SIMBA Sc , mkikuta magwepande au ununio msianze kulialia
 
Tatizo sio kilomoni,tatizo ni wana simba wenyewe.
Mtu kama kilomoni ambae hata umkabidhi amnunulie chai kagere hawezi anadiriki kuivuruga simba na Bado anapewa airtime?
Mtu mjinga kabisa...na wazee wenzake ambao hata kujinunulia shati hawawezi eti wanaopigania simba?
Pumbavu sana.
Na bado eti serikali kupitia waziri na bmt wanawakingia kifua hawa watu!
Huyu waziri Yaani nimempunguza credit sana kwa kauli zake.
Kama wana huruma kwa nini wasiisaidie Yanga kupata wawekezaji?
Waziri ana wivu binafsi na maendeleo ya simba.
Wawekezaji watatu wa kaliba ya mo waje wote kuwekeza simba wanakutana wapi na wakiwa wamekosa nini cha kufanya?
Simba ndo inamhitaji zaidi mo kuliko mo anavyohitaji simba.
Maamuzi ya waziri na bmt yanastaajabisha sana.
Afadhali Rais awatazame kama wanatosha kuendesha hii wizara maana hawapo kwa ajili ya kuendeleza mpira bali kuzalisha majungu na fitna.
 
Kila tunapotaka kuendelea katika Soka basi kuna watu wanatuvuta chini.

Acha tufuatilie tu soka LA wazungu wanaojielewa
 
Unajua haki miliki ya hilo jina "SIMBA" lina thamani kiasi gani ?

Unadhani ni rahisi kuiita timu yake MO SIMBA aachwe tu?
Akiita Mo Lions pia ni sahihi tu. Shida ataanza kuwekewa vipengele kwenye hatua ya usajili tu.
 
Hao waarabu mnawabembeleza mno. Kakuta watu wana timu yao akae na heshima awaachie watu timu yao. Kama anajiona ana pesa akaanzishe timu yake. Awaachie watu timu yao.
Alishindwa African Lyon anang'ang'ania Simba.
Anang'ang'ania kwani anainunua?. Mwenye timu ni akilimali peke yake?
MO Atoke au abaki Simba itaendelea kuwepo, na kwa ushamba huu soka letu halitasonga kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…