riro23
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 788
- 773
Hayo Mambo si rahisi Kama mnavyofkiriaNaunga mkono hoja. Timu iitwe "Mo SIMBA Fc.... Jezi ni RED & WHITE... afu HQ anunue jengo 1 MSIMBAZI Street
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo Mambo si rahisi Kama mnavyofkiriaNaunga mkono hoja. Timu iitwe "Mo SIMBA Fc.... Jezi ni RED & WHITE... afu HQ anunue jengo 1 MSIMBAZI Street
Ndo maana yakeNa jezi ziwe nyekundu nyeupe, hata mie nitakua shabiki w hiyo timu..
Tatizo ni serikali.
Unajua haki miliki ya hilo jina "SIMBA" lina thamani kiasi gani ?
Unadhani ni rahisi kuiita timu yake MO SIMBA aachwe tu?
Unajua haki miliki ya hilo jina "SIMBA" lina thamani kiasi gani ?
Unadhani ni rahisi kuiita timu yake MO SIMBA aachwe tu?
Ata simba haina shida mkuu unajua kwann majina ya vitu au viumbe ambavyo ni common havina hati miliki mfano simba almost dunia nzima wapoakiita mo simba haina shida, shida ipo akiita simba
Akiita Mo Lions pia ni sahihi tu. Shida ataanza kuwekewa vipengele kwenye hatua ya usajili tu.Unajua haki miliki ya hilo jina "SIMBA" lina thamani kiasi gani ?
Unadhani ni rahisi kuiita timu yake MO SIMBA aachwe tu?
AiseeeeeeeNaunga mkono hoja. Timu iitwe "Mo SIMBA Fc.... Jezi ni RED & WHITE... afu HQ anunue jengo 1 MSIMBAZI Street
Anang'ang'ania kwani anainunua?. Mwenye timu ni akilimali peke yake?Hao waarabu mnawabembeleza mno. Kakuta watu wana timu yao akae na heshima awaachie watu timu yao. Kama anajiona ana pesa akaanzishe timu yake. Awaachie watu timu yao.
Alishindwa African Lyon anang'ang'ania Simba.
Bakuli FC ndo itakuwa kubwa kuliko 😂😂😂Mikia fc itapendeza zaidi