Dewji stuka gharama za kipuuzi usitoe pesa, Manara anaidhalilisha Simba

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Ndugu yangu Mo Dewji stuka mbona pesa zako zinatumika hovyo na klabu ya simba nafahamu fika utakuwa unaorodhesha gharama na pesa unazotumia klabuni hapo hata hapo baadae wakikengeuka utawadai,lakini Mo kuna unnecessary expenses zinatumika.

Kusema kweli duniani kote sijawahi kuona klabu ya ajabu kama simba na msemaji wa ajabu kama Haji..hivi kulikuwa na ulazima gani manara na simba sc waitishe press kwa gharama kubwa ya pesa ya Mo kisha kuanza kujadili masuala ya Kamusoko,Tambwe na Ngoma na masuala ya yanga ?,kikosi cha billion Moja Mara Serena ,sijui refa alipendelea yanga ..dah




Dewji sawa unatumia gharama kubwa kuijali kikosi cha simba na kuwalaza sehemu nzuri na kuwasafirisha ili timu ipate matokeo lkn hizi gharama za kipuuzi yaani kila siku Haji anaitisha press na kuongea pumba kiukweli anaishushia heshima idara ya mawasiliano ya simba na klabu yenyewe maana inakuwa klabu ya kiki tu kila siku



Simba kuanzia Leo nimewadharau mpaka mtakapobadilika na nitaendelea kuwasema ,.sasa hii press ya Leo kiukweli imenishangaza sana yaani msemaji anaita waandishi na kisha anaanza kuwachamba kamusoko,Tshishimbi ,Tambwe ,Ngoma na refa na kuanza kuzungumza sijui tuna kikosi cha Billion moja ,chirwa
 
Pole sana ........
 
Ni Kama shoga vile. Mbona nyie yanga Manji ameadhamini kwa miaka kama7.hivi bado hamjafanya lolote zaidi ya kuishia ubingwa WA tz tu. Mashabiki WA yanga ni mazwazwa Sana mmeshupalia kukosa ghali mmesahau cha kwenu cha mwaka juzi tu. Hv yanga kuchukua ubingwa WA tz ndio mafanikio yenu mkubwa? Kama mo anatoa hela nyie yanga mnaumia na Mbona mnakuwa waswahili waswahili wambea km watu wa pwani! Jadilini maendeleo ya mpira Sio hela ya mo au droo ya simba na yanga. Hv mngefungwa mngesema hayo. Mmefungwa mechi 3 mfululizo Mbona mlikaa kimya Acheni mambo ya kike mashabiki WA yanga utafikiri wasuka nywele salon.
 
Huu ndio mwanzo wa mikia kupoteana.
 
Kwa povu Hilo, Hakika jiwe limekupata, pole sana mkuu.
 
Manara ni kusamehewa na ukiona kwa akili ya Manara anakuendesha basi jua una tatizo yule ni kumsikiliza alafu unacheka tu,timu ina misimu lundo hawana cha kujivunia ila wanapata ujasiri wa kuvimba unadhani kuna akili kweli.
 
Manula,Boko,Kapombe,Okwi,Nyoni,Niyonzima,Gyan,Mlipili,Mwambeleko,Duda nk...ndio wanunuliwe kwa 1.3 billions?????Mo kapigw
a..hakuna hata mmoja aliyenunuliwa kwa 200m zaidi ya Chirwa hapa Bongo..Manara na wenzake ni wezi wa mjini..Simba mnafanywa mazuzu na viongozi wenu
 
Unazungumzia ligi ipi hiyo Yanga aliyofungwa mechi 3 mfululizo? Mmeshaanza kuweweseka na bado!
 
Sasa wewe unawashwa nini kama wenzio hizo kwao ni kama hela yako ya kununulia mswaki?
 
Chura will always remain a big chura! Sasa, weye kulalamika hapa ni sehemu gani hasa ya mwili inakuwasha ukunwe? Mr. Money aka MO Money Dewji kalalamika? Yule ni Mchumi na mfanyibiashara, anajua atendalo. Una wivu? Khaa, weye vije? Waheduna weye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…