py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Ndugu yangu Mo Dewji stuka mbona pesa zako zinatumika hovyo na klabu ya simba nafahamu fika utakuwa unaorodhesha gharama na pesa unazotumia klabuni hapo hata hapo baadae wakikengeuka utawadai,lakini Mo kuna unnecessary expenses zinatumika.
Kusema kweli duniani kote sijawahi kuona klabu ya ajabu kama simba na msemaji wa ajabu kama Haji..hivi kulikuwa na ulazima gani manara na simba sc waitishe press kwa gharama kubwa ya pesa ya Mo kisha kuanza kujadili masuala ya Kamusoko,Tambwe na Ngoma na masuala ya yanga ?,kikosi cha billion Moja Mara Serena ,sijui refa alipendelea yanga ..dah
Dewji sawa unatumia gharama kubwa kuijali kikosi cha simba na kuwalaza sehemu nzuri na kuwasafirisha ili timu ipate matokeo lkn hizi gharama za kipuuzi yaani kila siku Haji anaitisha press na kuongea pumba kiukweli anaishushia heshima idara ya mawasiliano ya simba na klabu yenyewe maana inakuwa klabu ya kiki tu kila siku
Simba kuanzia Leo nimewadharau mpaka mtakapobadilika na nitaendelea kuwasema ,.sasa hii press ya Leo kiukweli imenishangaza sana yaani msemaji anaita waandishi na kisha anaanza kuwachamba kamusoko,Tshishimbi ,Tambwe ,Ngoma na refa na kuanza kuzungumza sijui tuna kikosi cha Billion moja ,chirwa