Kwa hiyo umemaliza au utaleta episodes zingineKitaalamu/Anatomical position Moyo wa Mwanadamu unatakiwa uwe upande wa kushoto wa Kifua...DEXTROCARDIA ni hali ya Moyo wa Mwanadamu kuwa upande wa Kulia wa kifua ndo maana Inashauriwa baada ya mama kujifungua Drs Kupima kifua cha mtoto aliyezaliwa ili kujua Moyo upo upande gani kwa kutumia #Stesthescope japo ni rare sana kupata watu wenye ilo tatizo....
Kwa hiyo tofauti yake na cardiomegally ni niniKitaalam bado moyo haupo exactly kushoto!upo katikati ila umetilt upande wa kushoto kidogo
Ni #Congenital namaanisha ni hali ya kuzaliwa nayo ni ngumu sana kupata kesi kama izo japo sipo chache sana...Kwaio moyo kukaa kulia inasbabishwa na nn? Naikitokea hivyo anafanyiwa upasuaji au na nn kifantike ili moyo usikae kulia
mbona elimu unayotaka kutupatia haijakamilika fafanua basi
Ni Congenital nikimaanisha ni kitu za kuzaliwa nacho NduguKwaio moyo kukaa kulia inasbabishwa na nn? Naikitokea hivyo anafanyiwa upasuaji au na nn kifantike ili moyo usikae kulia
mbona elimu unayotaka kutupatia haijakamilika fafanua basi