bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Kitaalamu/Anatomically moyo wa mwanadamu unatakiwa uwe upande wa kushoto wa kifua. Dextrocardia ni hali ya moyo wa mwanadamu kuwa upande wa kulia wa kifua.
Ndio maana inashauriwa baada ya mama kujifungua, madaktari kupima kifua cha mtoto aliyezaliwa ili kujua moyo upo upande gani kwa kutumia #Stesthescope japo ni rare sana kupata watu wenye hilo tatizo.